Update ya mbongo movie aliyeharibiwa sura na nyuki

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
12523961_10208986844337611_7839419673106575938_n.jpg
ama kweli binadamu hawana wema,yule dada anayekimbiza huko bongo movie niliyeleta habari ya kwamba kavimbishwa uso na nyuki imegundulika kwamba walikuwa ni nyuki wa uchawi na kwa sasa sura yake imekuwa nyeupe kama chokaa na maumivu anayoyasikia ni makali sana
Please tumuombeee
 
Teh! mbona mdomo upo inversely proportional na sura yake?

Nashauri apelekwe india for more checkup!
 
Back
Top Bottom