Wazungu wanasema "If it's not broken don't fix it". Kama kila kitu kiko shwari basi ni mwendo mdundo. Ila kama kuna yanayojitokeza hapo tutayajadili wenyewe
na usisahau pia hao hao wazungu wanasema "If it can, It will" ndio hapo sasa!!!
Wazungu wanasema "If it's not broken don't fix it". Kama kila kitu kiko shwari basi ni mwendo mdundo. Ila kama kuna yanayojitokeza hapo tutayajadili wenyewe
Si ndo hapo sasa
Ha ha hv michembe bado muda wake mie naipenda sanasoon lizzy atakuja na backup....niaje mtu wangu? njoo usukumani upate angalau Manumbu(maviazi)
Aaah Lizzy? Yan unakuwa kama hujui mapenzi? Hakuna kuulizana, trend ya matendo ya mwenzi wako na hisia zenu ktk mambo mhm yanayowaunganisha ni majibu tosha juu mwenendo wa mahusiano yenu! HAKUNA HAJA YA KUULIZIANA, MAPENZI USIFANANISHE NA INTERVIEW YA KAZI.Habari yenu wandugu.Hivi ni wangapi kati yenu baada ya muda kupita tangu kuanza mahusiano/kuingia kwenye ndoa zenu mmewahi kukaa chini ma wenzi wenu na kuwauliza mahusiano yenu yanaendelea vipi/yanaelekea/wanataka yaelekee wapi?!Mnaulizana kama kila mmoja anayafurahia na ameridhika na yanavyoendelea?!Unaongea na mwenzio kujua kama nae anafurahia kama unavyofurahia wewe?!Kama bado mpo kwenye ukurasa mmoja kama ilivyokua awali?!Au ndio mkishakubaliana/oana basi kunakua hamna umuhimu wa kupeana UPDATE kwenye swala zima la hisia zenu?!Usidanganyike na I love you too....na mengineyo yanayorudisha majibu ya .....na mimi pia. Haya ni majibu ambayo hayahitaji hisia ziwepo kuyapata. Mtu anaweza akaonyesha furaha japo hanayo...mapenzi yamepungua kibaba wewe hujui wakati ungejua ungefanya juhudi za kuyarudisha.Mwenzako mawazo ya upenzi tu yameshamtoka yanatamani/taka ndoa wewe ndo kwanza unaonyesha msisitizo ni kiasi gani huna hamu nayo....mwenzako kashakuchoka na uchumba anatamani kuuvua ila wewe ndo kwanza kila siku waongelea mbwembwe za harusi anashindwa kukwambia.Msisubirie kushushuana kanisani kwa jibu la HAPANA SIKUBALI...ndoani mwenzio HATA HAJUI HISIA ZAKE ZIKO WAPI au kuagwa na mpenzi maana alichotaka mwanzo sicho anachotaka sasa hivi na wewe bado hujabadilika.Meaning mwendo wenu hauwiani....kila mmoja anatembea kwa speed yake mpaka mmepotezana au mmoja kabaki nyuma sana.Kumbukeni kwamba mawasiliano ni muhimu kwenye mahusiano....na mawasiliano yenyewe ndo haya.Siku njema!
hahaha laaziz tutayaongea, mie na wewe wala hatudhuriani laaziz wangu.....mie naona huko ku review mambo ni kufukunyua matatizo tu...
Tatizo la mawazo mgando!Aaah Lizzy? Yan unakuwa kama hujui mapenzi? Hakuna kuulizana, trend ya matendo ya mwenzi wako na hisia zenu ktk mambo mhm yanayowaunganisha ni majibu tosha juu mwenendo wa mahusiano yenu! HAKUNA HAJA YA KUULIZIANA, MAPENZI USIFANANISHE NA INTERVIEW YA KAZI.
Halafu wewe?!!halafu hili la we need to talk umeling'ang'ania sana litakuharibia mahusiano.. mazungumzo mazuri ni yale ambayo hayakupangwa,tena sometimes ni ya mzaha mzaha hivi au utani utani hivi l...hapo hapo unamchomekea mtu pointii muhimu
Za miaka Dr.?Habari yenu wandugu.
Hivi ni wangapi kati yenu baada ya muda kupita tangu kuanza mahusiano/kuingia kwenye ndoa zenu mmewahi kukaa chini ma wenzi wenu na kuwauliza mahusiano yenu yanaendelea vipi/yanaelekea/wanataka yaelekee wapi?!Mnaulizana kama kila mmoja anayafurahia na ameridhika na yanavyoendelea?!Unaongea na mwenzio kujua kama nae anafurahia kama unavyofurahia wewe?!Kama bado mpo kwenye ukurasa mmoja kama ilivyokua awali?!
Au ndio mkishakubaliana/oana basi kunakua hamna umuhimu wa kupeana UPDATE kwenye swala zima la hisia zenu?!Usidanganyike na I love you too....na mengineyo yanayorudisha majibu ya .....na mimi pia. Haya ni majibu ambayo hayahitaji hisia ziwepo kuyapata. Mtu anaweza akaonyesha furaha japo hanayo...mapenzi yamepungua kibaba wewe hujui wakati ungejua ungefanya juhudi za kuyarudisha.Mwenzako mawazo ya upenzi tu yameshamtoka yanatamani/taka ndoa wewe ndo kwanza unaonyesha msisitizo ni kiasi gani huna hamu nayo....mwenzako kashakuchoka na uchumba anatamani kuuvua ila wewe ndo kwanza kila siku waongelea mbwembwe za harusi anashindwa kukwambia.Msisubirie kushushuana kanisani kwa jibu la HAPANA SIKUBALI...ndoani mwenzio HATA HAJUI HISIA ZAKE ZIKO WAPI au kuagwa na mpenzi maana alichotaka mwanzo sicho anachotaka sasa hivi na wewe bado hujabadilika.Meaning mwendo wenu hauwiani....kila mmoja anatembea kwa speed yake mpaka mmepotezana au mmoja kabaki nyuma sana.
Kumbukeni kwamba mawasiliano ni muhimu kwenye mahusiano....na mawasiliano yenyewe ndo haya.
Siku njema!
Ulipevuka mapemaMnasubiria mpaka nyufa zigeuke milango ehhhh!Nwy hamna haja ya kutishana na we need to talk..ni maongezi ya kawaida unaunganisha na mengine mkiwa mmetulia!
Sasa Intelligent businessman kama Psychologist nichunguze nini zaidi ya human behavior, development na mahusiano ya kifamilia, mapenzi, urafiki etc. ??🤓Sema Dr Lizzy, nahisi una penda Sana 🤣 😂.
Mpaka una fanya utafiti, ili ujue ka uko sahihi au una ongopewa😁
Maana mada zako nyingi ni kuhusu relationship.
Ume jitetea vizuri🤣, sema ni vizuri kufahamu Tabia na hukka za wanadam.Sasa Intelligent businessman kama Psychologist nichunguze nini zaidi ya human behavior, development na mahusiano ya kifamilia, mapenzi, urafiki etc. ??🤓
Nilipitia notes zangu za nyuma ndio nikajibu.😁😁Ume jitetea vizuri🤣, sema ni vizuri kufahamu Tabia na hukka za wanadam.
Japo huwezi jua zote, ila hii huwa Ina niboa coz Ina nipa nafasi ya ku predict next move ya mtu au fikira zake.
Katika familia yenu au hiyo uliyo nayo, ni mtu yupi una bond nae zaidi😂.Nilipitia notes zangu za nyuma ndio nikajibu.😁😁
Nu muhimu kuelewa watu (including ourselves), kwasababu mambo mengi huanzia hapo.