halafu hili la we need to talk umeling'ang'ania sana
litakuharibia mahusiano..
mazungumzo mazuri ni yale ambayo hayakupangwa,tena sometimes ni ya mzaha mzaha
hivi au utani utani hivi l...hapo hapo unamchomekea mtu pointii muhimu
Halafu ukikuta Mtu wa hapo red huyu hata kama ni small issue utasikia we need to talk....mie neno hili nimetokea kutolipenda kabisa...
Kumbukeni kwamba mawasiliano ni muhimu kwenye mahusiano....
Yaani hata mie nikiambiwa we need to talk, huwa napata mawzohalafu hili la we need to talk umeling'ang'ania sana
litakuharibia mahusiano..
mazungumzo mazuri ni yale ambayo hayakupangwa,tena sometimes ni ya mzaha mzaha
hivi au utani utani hivi l...hapo hapo unamchomekea mtu pointii muhimu
halafu hili la we need to talk umeling'ang'ania sana
litakuharibia mahusiano..
mazungumzo mazuri ni yale ambayo hayakupangwa,tena sometimes ni ya mzaha mzaha
hivi au utani utani hivi l...hapo hapo unamchomekea mtu pointii muhimu
Huo muda utoke wapi?? ikitokea shida ndo tunaulizana lakini kama mambo yako sawia maisha yanakwenda
Watu wengine hawataki kuambiwa "We need to talk"
na hata 2kipata huo muda bado tutaambiwa mambo shwari hakuna tatizo, ni wachache sana watatoa ushirikiano, wacha tusubirie tu tumbwili likitokea ndio tuweke mambo sawa hayo mengine hatutapeana majibu dhabiti.
Update ya nini tena...tunaulizana jinsi ya kutunza watoto na kusonga mbele...Muda against nini vile?
na hata 2kipata huo muda bado tutaambiwa mambo shwari hakuna tatizo, ni wachache sana watatoa ushirikiano, wacha tusubirie tu tumbwili likitokea ndio tuweke mambo sawa hayo mengine hatutapeana majibu dhabiti.
Updates huwa ziko kama hivi:
Mke: Pesa ya mafundi usisahahu
Mke: Baba alipiga simu anasema umtumie pesa ya matibabu
Mke: Bill za maji, umeme, usisahau kwenda kulipia
Mke: Mchango wa Harusi ya mdogo wangu mwisho jumamosi
Mke: Nikitoka kazini napitia sokoni
Mme: SAWA!
Watu wengine hawataki kuambiwa "We need to talk"
Nikiambiwa hivyo najua tayari mzinga huo nataka kupigwa hapo nikutafuta sababu mapema
Updates huwa ziko kama hivi:
Mke: Pesa ya mafundi usisahahu
Mke: Baba alipiga simu anasema umtumie pesa ya matibabu
Mke: Bill za maji, umeme, usisahau kwenda kulipia
Mke: Mchango wa Harusi ya mdogo wangu mwisho jumamosi
Mke: Nikitoka kazini napitia sokoni
Mme: SAWA!
You can review it by going somewhere mbali kidogo na nyumbani (kama pesa ya kufanya hivyo ipo)....Huko mnaweza kuongea taratibu bila ya kuwa na ile ''state ya we need to talk''. Mara nyingi binadamu anaweza kufunguka yale yaliyomo moyoni mwake kirahisi zaidi akiwa ''ame - relax'' kuliko akiwa kwenye tension.
Mambo ya ''we need to talk'' hayachelewi kupelekea statements kama ''I don't see this relationship taking us anywhere''....!!