Update kuhusu nyongeza ya salary please?

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Kwa mliopo kwenye halmashauri ambazo salary zimetoka,tunaomba mtuhabarishe kama nyongeza imekaaje!
 
ISO 9001:2008 CERTIFIED Resident Individual Income Tax Rates with effect from 1/7/2012 as per Finance Bill 2012
Monthly IncomeTax Rate
Where total income does not exceed shs 170,000/=NIL
Where total income exceeds shs 170,000/= but does not exceed 360,000/=14% of the amount in excess of shs 170,000/=
Where total income exceeds shs. 360,000/= but does not exceed 540,000/=26,600/= plus 20% of the amount in excess of shs 360,000/=
Where total income exceeds 540,000/= but does not exceed 720,000/=Shs 62,600/= plus 25% of the amount in excess of shs 540,000/=
Where total income exceeds shs 720,000/=Shs 107,600/= plus 30% of the amount in excess of shs 720,000/=
1. The monthly income include basic salary, overtime, bonus, commission, allowances e.g. house allowance or transport allowance and benefits in kind received in lieu of employment but after deducting the contribution to the approved retirement Fund (NSSF or PPF) 2. Threshold per annum: Income Shs 2,040,000 /=3. Rates applicable to Zanzibar: The Minister may in consultation with the Minister responsible for finance of the Revolutionary Government of Zanzibar, determine the rates applicable in Tanzania Zanzibar
ISO 9001:2008 CERTIFIED
VIWANGO VYA KODI KWA WATU BINAFSI WAAKAZI KUANZIA TAREHE 1/7/2012 KWA MUJIBU WA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA YA MWAKA 2012
Mapato kwa mwezi Kiwango cha kodi
Mapato yasiyozidi shs 170,000/=Yamesamehewa
Mapato yanayozidi shs 170,000/= lakini hayazidi sh. 360,000/=14% ya kiasi kinachozidi sh 170,000/=
Mapato yanayozidi sh. 360,000lakini hayazidi sh. 540,000/=Sh. 26,600/= ongeza 20% ya kiasi kinachozidi sh 360,000/=
Mapato yanayozidi sh. 540,000/= lakini hayazidi sh. 720,000/=Sh. 62,600/= ongeza 25% ya kiasi kinachozidi sh 540,000/=
Mapato yanayozidi sh 720,000/=Sh 107,600/= ongeza 30% ya kiasi kinachozidi sh 720,000/=
1. Mapato ya mwajiriwa kwa mwezi ni pamoja na mshahara , ujira kwa kazi za ziada , bonasi, kamisheni, malipo kwa ajiri ya nyumba, usafiri na malipo mengine ya ajira baada ya kuondoa michango ya akiba ya uzeeni inayokubalika (mfano NSSF au PPF)) 2. Mapato kwa mwaka yasiyotozwa kodi ni Sh 2,040,000 /=3. Viwango vya kodi kwa Zanzibar : Waziri wa Fedha atashauriana na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
cheza na hiyo kwanza ukiwa unasubiri hilo ongezeko.
 
kweli tanzania nchi ya ajabu ,wapo wapi watu wanayoitetea ccm ya magamba,yani fedha wanazokata zinazidi nyongeza,kumbe tanzania inaongozwa kwa kutumia kodi za wafanyakazi bado mfanyakazi akienda ofisi ya mtendaji anatakiwa atoe mchango ili ahudumiwe,hii nchi ipo ipo tu,tuamke tuwaweke kando wezi hawa
 
Kuna jamaa wapo halmashauri moja wamesema kuwa wao wameambiwa nyongeza iliyowekwa katika mshahara ni kama 14%.
 
Kwahiyo watumishi wa umma wamedanganywa kuelezwa bungeni kuwa ongezeko ni kati ya 15% - 20%.
 
ISO 9001:2008 CERTIFIED Resident Individual Income Tax Rates with effect from 1/7/2012 as per Finance Bill 2012
Monthly IncomeTax Rate
Where total income does not exceed shs 170,000/=NIL
Where total income exceeds shs 170,000/= but does not exceed 360,000/=14% of the amount in excess of shs 170,000/=
Where total income exceeds shs. 360,000/= but does not exceed 540,000/=26,600/= plus 20% of the amount in excess of shs 360,000/=
Where total income exceeds 540,000/= but does not exceed 720,000/=Shs 62,600/= plus 25% of the amount in excess of shs 540,000/=
Where total income exceeds shs 720,000/=Shs 107,600/= plus 30% of the amount in excess of shs 720,000/=
1. The monthly income include basic salary, overtime, bonus, commission, allowances e.g. house allowance or transport allowance and benefits in kind received in lieu of employment but after deducting the contribution to the approved retirement Fund (NSSF or PPF) 2. Threshold per annum: Income Shs 2,040,000 /=3. Rates applicable to Zanzibar: The Minister may in consultation with the Minister responsible for finance of the Revolutionary Government of Zanzibar, determine the rates applicable in Tanzania Zanzibar
ISO 9001:2008 CERTIFIED
VIWANGO VYA KODI KWA WATU BINAFSI WAAKAZI KUANZIA TAREHE 1/7/2012 KWA MUJIBU WA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA YA MWAKA 2012
Mapato kwa mwezi Kiwango cha kodi
Mapato yasiyozidi shs 170,000/=Yamesamehewa
Mapato yanayozidi shs 170,000/= lakini hayazidi sh. 360,000/=14% ya kiasi kinachozidi sh 170,000/=
Mapato yanayozidi sh. 360,000lakini hayazidi sh. 540,000/=Sh. 26,600/= ongeza 20% ya kiasi kinachozidi sh 360,000/=
Mapato yanayozidi sh. 540,000/= lakini hayazidi sh. 720,000/=Sh. 62,600/= ongeza 25% ya kiasi kinachozidi sh 540,000/=
Mapato yanayozidi sh 720,000/=Sh 107,600/= ongeza 30% ya kiasi kinachozidi sh 720,000/=
1. Mapato ya mwajiriwa kwa mwezi ni pamoja na mshahara , ujira kwa kazi za ziada , bonasi, kamisheni, malipo kwa ajiri ya nyumba, usafiri na malipo mengine ya ajira baada ya kuondoa michango ya akiba ya uzeeni inayokubalika (mfano NSSF au PPF)) 2. Mapato kwa mwaka yasiyotozwa kodi ni Sh 2,040,000 /=3. Viwango vya kodi kwa Zanzibar : Waziri wa Fedha atashauriana na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
cheza na hiyo kwanza ukiwa unasubiri hilo ongezeko.

Ameomba salary increase rates and not tax rates, jamani, lakini na hii taarifa inapendeza kuijua.
 
Mahala nilipo mpaka sasa salary bado ikiwa sawa tutawajulisha hawa wajanja wamepunguza kiasi gani maana kuongeza ni propaganda
 
Back
Top Bottom