utakuwa ni utaila kutoka nje ya mada wakati ukijua kuwa haistahili kufanya hivyo😡Ivi bado watu wako kwenye zama za mawe tu wakati sasa ni wakati wa digitali! Kama huwa tunatangaziwa kuchwa na machweo ya jua sekunde, dakika, saa, tarehe etc katika utabiri wa hali ya hewa, sembuse mwezi?!Ivi na sisi ingekua ni dhambi kupanda gari kwasababu Yesu alipanda punda, si tungekua matahira!
Tunakamilisha Shaaban 30 Jumatano tunaanza kufunga.
Shemeji kwema? Ramadhan Kareem Bwana
Alhamdulillah, na tunaukaribisha mwezi mtukufu, mwezi wa neema, mwezi unaosilimisha kwa wingi! na ni mwezi wa kuongeza mapenzi juu ya dini yetu, "RAMADHAN MUBARAK" NDUGU ZANGU WOTE WAISLAMU, bila kumsahau mkuu Izz na Kikwajuni one
Bakwata wanasubiri ratiba toka ofisi za CCM Lumumba,hivyo tusijeshangaa kesho Sheikh wa mkoa dar anasema ramadhan itaanza tarehe 11 alhamisi
Natumaini na maneno machafu na ya kejeli mtayasimamisha kwa muda!!!
CC: Rizt, Chama, CHAMVIGA and the like!!!!!!!!!!!!!
Are u talking of Shahar or qamar?
Could u please bring a logical question so that we can all benefit instead of childish ones?
he! Pamoja na secret i.D lakini wenzetu mnajuana!
Ivi na sisi ingekua ni dhambi kupanda gari kwasababu Yesu alipanda punda, si tungekua matahira!
Ramadhan Kareem.