Update:KUANDAMA KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.

Status
Not open for further replies.

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
7,687
Reaction score
2,240
Kwasasa Jf' ni chanzo kikuu cha habari kwa Tanzania na ni vyema tukawahabarisha watanzania waislamu kuhusu taarifa za muandamo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Popote ulipo ukisikia au kuuona mwezi tujulishane.
 
Mkuu sio kila mtu anaweza tu kutoa taarifa ya kuona mwezi baada ya yeye binafsi kuuona.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ritz.
Chama.
Nasdaz.
Mzizi Mkavu.

Na wengineo tujitahidi kupeana taarifa ni muhimu kwa sasa kupitia mtandao huu kwani Radio Imani imefungwa kwahiyo Bakwata wanaweza kutufanya tule ndani ya ramadhani.
 
Mkuu sio kila mtu anaweza tu kutoa taarifa ya kuona mwezi baada ya yeye binafsi kuuona.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Unamaanisha nini? Au unamaana kuna mtu maalumu wa kutangaza mwezi?.
 
Rafiki yangu aliye china kanambia they will fast kesho yaani 9th of July 2013
 
seems jumatano inshaAllah ndio tutaanza kufunga .. bado nafuatilia updates kwa jamaa na marafiki
 
That means kwao watakuwa wameshamaliza shaaban 30?

china and tzn wapishana 5 hrs ,, & shes not a reliable source , nimejaribu kuangalia nchi nyingi wanaanza juma 5
 
It's official: Ramadan to begin in UAE, Saudi Arabia, Egypt, Palestine and Jordan on Wednesday

Ramadan moon has not been sighted in UAE, Saudi Arabia, Egypt, Palestine and Jordan and Wednesday, July 10, is the first day of the holy month of Ramadan.

The UAE's moon sighting committee has announced that tomorrow, Tuesday 9 July 2013, will be the 30th day of the month of Sha'aban and accordingly, Wednesday 10 July 2013 will be the first day of the holy month of Ramadan.

Sheikh Shawki Allam, Mufti of Committees for Legitimacy and Scientific Fatwa of Egypt, announced that Wednesday is the first day of Ramadan.

The Chief Justice said in Jordan on Monday via state television said Wednesday will be the first day of the month of Ramadan in the Kingdom.

Mufti of Palestine Sheikh Mohammed Hussein also declared that the holy month will begin on Wednesday as there's been no evidence of moon sighting.

Most of the astronomers had predicted that the holy month of Ramadan will begin on Wednesday.
The Sharjah Planetarium at the Department of Culture and Information announced that the Ramadan Crescent will form on July 8, 2013 at 11:14am and set at 19:08pm, five minutes before the sunset. The crescent will be seen on July 9 in the evening. So the first day of Ramadan will be July 10, astronomically, corresponding to Ramadan 01, 1434 H.

Bangkok Post has announced that the Muslim religious authority in Thailand has declared Wednesday as the first day of the holy month. Because Ramadan begins on Wednesday, the Eid al-Fitr celebration marking the end of the 30-day fasting period will be on Aug

source click

tutafunga jumatano inshaAllah! nawatakia mfungo mwema!
 
seems jumatano inshaAllah ndio tutaanza kufunga .. bado nafuatilia updates kwa jamaa na marafiki

Unafutilia kitu gan wakati kila kitu kipo kwenye mtandao?
Watu wanapredict upepo, matetemeko, siku muda na tarehe, miezi hata sita kabla hayajatokea, sembuse kuandama kwa mwezi.
Msitumie hiyo kuhalalisha ni dini ya Mungu wakati naweza kukutajia sasa ivi mfungo wa ramadhani wa mwaka 10,000 itaanza tarehe na siku gani.
 
Sijakuzuia kuangalia mitandao na upepo.. sijui povu unalotoa la nini... wanishangaza ati.. akha!... anyways hutaki unataka jumatano inshaAllah tutafunga.. PROBLEM .???
 
It's official: Ramadan to begin in UAE, Saudi Arabia, Egypt, Palestine and Jordan on Wednesday

Ramadan moon has not been sighted in UAE, Saudi Arabia, Egypt, Palestine and Jordan and Wednesday, July 10, is the first day of the holy month of Ramadan.

The UAE's moon sighting committee has announced that tomorrow, Tuesday 9 July 2013, will be the 30th day of the month of Sha'aban and accordingly, Wednesday 10 July 2013 will be the first day of the holy month of Ramadan.

Sheikh Shawki Allam, Mufti of Committees for Legitimacy and Scientific Fatwa of Egypt, announced that Wednesday is the first day of Ramadan.

The Chief Justice said in Jordan on Monday via state television said Wednesday will be the first day of the month of Ramadan in the Kingdom.

Mufti of Palestine Sheikh Mohammed Hussein also declared that the holy month will begin on Wednesday as there's been no evidence of moon sighting.

Most of the astronomers had predicted that the holy month of Ramadan will begin on Wednesday.
The Sharjah Planetarium at the Department of Culture and Information announced that the Ramadan Crescent will form on July 8, 2013 at 11:14am and set at 19:08pm, five minutes before the sunset. The crescent will be seen on July 9 in the evening. So the first day of Ramadan will be July 10, astronomically, corresponding to Ramadan 01, 1434 H.

Bangkok Post has announced that the Muslim religious authority in Thailand has declared Wednesday as the first day of the holy month. Because Ramadan begins on Wednesday, the Eid al-Fitr celebration marking the end of the 30-day fasting period will be on Aug

source click

tutafunga jumatano inshaAllah! nawatakia mfungo mwema!

shukran kaka, hapa tz mpaka sasa hakuna taarifa za mwez, likely na wao wakaa anza jumatano insha Allah.
 
Unafutilia kitu gan wakati kila kitu kipo kwenye mtandao?
Watu wanapredict upepo, matetemeko, siku muda na tarehe, miezi hata sita kabla hayajatokea, sembuse kuandama kwa mwezi.
Msitumie hiyo kuhalalisha ni dini ya Mungu wakati naweza kukutajia sasa ivi mfungo wa ramadhani wa mwaka 10,000 itaanza tarehe na siku gani.

Umeeleweka kaka, usijali, tutagoogle, usiwe na magharibi ya roho.
 
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Official
Decision and Announcement of the High Judiciary Council of Saudi
Arabia...
[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Just a short
time ago, Fatwa-Online was informed of the official decision and announcement of
the High Judiciary Council of Saudi Arabia that since the moon of Ramadhaan was
not sighted this evening, here in Saudi Arabia, we shall be completing thirty
(30) days of Sha'baan (1434 A.H.), in
accordance with the hadeeth of the Messenger of
Allaah (sal-Allaahu `alayhe wa
sallam
):
[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]((Fast when you see the crescent. If it is obscured to you, then
complete thirty days of
Sha'baan.
And break your fast when you see the crescent. If it is obscured to you then
fast thirty days
)), [transmitted by al-Bukhaaree and
Muslim].
[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Subsequently,
we shall be starting our taraaweeh prayers tomorrow
(Tuesday 9 July 2013) after the 'Ishaa. prayer, in preparation for the first fast of Ramadhaan on Wednesday 10 July
2013
, inshaa.-Allaah
[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif].[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Important: Extending greetings on the
arrival of the month of Ramadhaan
[/FONT]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom