Update: Ghorofa laanguka Marangu, watu 5 wafariki Dunia

Update: Ghorofa laanguka Marangu, watu 5 wafariki Dunia

SHORTCUT ZINA RAHISISHA KILA KITU MPAKA KIFO.
 
Wivu wa kimaskini. Kuna mtu anaweza jenga mwenyewe?
Ninafikiri hujamuelewa. Watu huchangia bajeti ya ujenzi, mfano mmoja mmoja anajenga floor moja, halafu ya pili anauziwa mwingine. Halafu floor ya tatu inarudi kuwa mali ya yule waa floor ya mwanzo then anaweza akaiuza pia
 
Ninafikiri na ww hujanielewa bora tupige kimya tuwape pole wafiwa
Ninafikiri hujamuelewa. Watu huchangia bajeti ya ujenzi, mfano mmoja mmoja anajenga floor moja, halafu ya pili anauziwa mwingine. Halafu floor ya tatu inarudi kuwa mali ya yule waa floor ya mwanzo then anaweza akaiuza pia

Ninafikiri hujamuelewa. Watu huchangia bajeti ya ujenzi, mfano mmoja mmoja anajenga floor moja, halafu ya pili anauziwa mwingine. Halafu floor ya tatu inarudi kuwa mali ya yule waa floor ya mwanzo then anaweza akaiuza pia
 
Wachaga bwana. Hizo ndio nondo za kujengea gorofa.
Engineer kasomea veta ?
Kama kazi hamziwezi achaneni zazo. MTU akili yake Ni ya kujenga nyumba ya tembe unampaka kazi ya kujenga gorofa? Halafu unampunja pesa.
 
Huu mwisho wa mwaka na matukio ya ajabu huwa mengi!
Huku mtaani kwetu mtoto wa jirani mwenye umri wa miaka mitatu kameza shoka!
 
Unaenda kuzindua nyumba usiyoishi why akili au matope. Au wanataka heshima siku akikata moto waonekane Wana nyumba nzuri.
Kujenga nyumba usiyoishi ni kituko, sasa hizo pesa si bora wangezitumia kujenga viwanda vidogo vidogo kuliko kujenga ghorofa maporini.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kujenga nyumba usiyoishi ni kituko, sasa hizo pesa si bora wangezitumia kujenga viwanda vidogo vidogo kuliko kujenga ghorofa maporini.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hakuna jinsi ya kuelezea hisia nzuri mtu azipatazo akiweza kujenga nyumba nzuri kule mgombani. Mchaga yeyote akijenga dar, mwanza, moro au wapi bila kushusha mjengo kule migombani iwe marangu, mamba, mwika, rombo etc huyo hahesabiki kama mchaga.
 
Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022

Kikosi cha uokoaji kimefika eneo la ajali kwa ajili ya kuwaokoa watu wanaosadikiwa kufunikwa na jengo hilo.

Taarifa zaidi zitafuata.

UPDATE: KILIMANJARO: GHOROFA LAANGUKA, WATU 5 WAFARIKI DUNIA

Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022 na kusababisha vifo vya watu watano

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na kueleza kuwa watu wengine kadhaa waliokuwa katika eneo hilo wameokolewaView attachment 2451726
Tusiokuwa na kumbukumbu
 
Back
Top Bottom