Update: Ghorofa laanguka Marangu, watu 5 wafariki Dunia

Update: Ghorofa laanguka Marangu, watu 5 wafariki Dunia

Yako mengi ya aina hiyo tena watu wanaishi ndani yake Ni suala la muda tu
 
Ghorofa zinazojengwa siku hizi ni hatari mno.

Maana nondo feki,cement feki na bado wanachakachua ratio.

Ni hatari mno

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
hizo nondo hazikizi viwango.wachaga wanapenda mambo makubwa kwavihela vyao vyambuzi.ona wanagharim maisha yawatu
 
Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022

Kikosi cha uokoaji kimefika eneo la ajali kwa ajili ya kuwaokoa watu wanaosadikiwa kufunikwa na jengo hilo.

Taarifa zaidi zitafuata.

UPDATE: KILIMANJARO: GHOROFA LAANGUKA, WATU 5 WAFARIKI DUNIA

Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022 na kusababisha vifo vya watu watano

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na kueleza kuwa watu wengine kadhaa waliokuwa katika eneo hilo wameokolewaView attachment 2451726
Ala kumbe hata wanaojiita wasomi na mamilionea nao wanatumia fundi Marko ? Pole sana waliojeruhiwa katika mkasa huo.
 
Ujenzi wa ghorofa unahitaji utaalam.

Lazima ufuate procedures ukimess up lazima jengo lishuke.

Ghorofa ni msingi........Lazima base iwe imara....Kitako chake na height kwenda chini lazima uzifuate.

Mvutano wa nondo lazima ujua overlapping zipo vipi na zinakaaje.

Unashauriwa ghorofa moja utumie 16'mm or 25mm nondo kwenye jamvi utumie 12mm kitanda juu na chini..

Ujenzi wa ghorofa auhitaji ubahili.

Nondo 16mm unajenda daraja mkuu?nyumba ya makazi nondo ni 12mm tu,Epeka gharama za kijinga,kuanguka kwa ghorofa sio sababu ya nondo
 
Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022

Kikosi cha uokoaji kimefika eneo la ajali kwa ajili ya kuwaokoa watu wanaosadikiwa kufunikwa na jengo hilo.

Taarifa zaidi zitafuata.

UPDATE: KILIMANJARO: GHOROFA LAANGUKA, WATU 5 WAFARIKI DUNIA

Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022 na kusababisha vifo vya watu watano

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na kueleza kuwa watu wengine kadhaa waliokuwa katika eneo hilo wameokolewaView attachment 2451726
Kuna mchaga atakuwa ameiba sementi, joking watani zangu
 
Nondo 16mm unajenda daraja mkuu?nyumba ya makazi nondo ni 12mm tu,Epeka gharama za kijinga,kuanguka kwa ghorofa sio sababu ya nondo

Kwa uimara wa jengo ,ni better kutumia 16mm kwenye column au kama mpunga upo unatumia 25mm.
 
Ehh Mungu tusaidie [emoji22]
Rip marehemu, wagonjwa get well soon!
 
Back
Top Bottom