Update: Ghorofa laanguka Marangu, watu 5 wafariki Dunia

Update: Ghorofa laanguka Marangu, watu 5 wafariki Dunia

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022

Kikosi cha uokoaji kimefika eneo la ajali kwa ajili ya kuwaokoa watu wanaosadikiwa kufunikwa na jengo hilo.

Taarifa zaidi zitafuata.

UPDATE: KILIMANJARO: GHOROFA LAANGUKA, WATU 5 WAFARIKI DUNIA

Ghorofa lililokuwa linajengwa eneo la Marangu Sembeti Wilayani Moshi limeanguka asubuhi ya leo Disemba 19, 2022 na kusababisha vifo vya watu watano

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na kueleza kuwa watu wengine kadhaa waliokuwa katika eneo hilo wameokolewa
69165804-00A8-4425-ADFE-F7DA64D14CDF.jpeg
 
Mungu asaidie pasiwe na Vifo . Pole majeruhi
 
Back
Top Bottom