Update: Ghorofa laanguka Marangu, watu 5 wafariki Dunia

Update: Ghorofa laanguka Marangu, watu 5 wafariki Dunia

Screenshot_20221219-125402.png
 
Ujenzi wa ghorofa unahitaji utaalam.

Lazima ufuate procedures ukimess up lazima jengo lishuke.

Ghorofa ni msingi........Lazima base iwe imara....Kitako chake na height kwenda chini lazima uzifuate.

Mvutano wa nondo lazima ujua overlapping zipo vipi na zinakaaje.

Unashauriwa ghorofa moja utumie 16'mm or 25mm nondo kwenye jamvi utumie 12mm kitanda juu na chini..

Ujenzi wa ghorofa auhitaji ubahili.
 
Isijekuwa lilikuwa linajengwa haraka kwa ajili ya kuzinduliwa msimu huu wa sikukuu. Manake moja ya sababu za wachaga kurejea makwao ni uzinduzi wa nyumba
Unaenda kuzindua nyumba usiyoishi why akili au matope. Au wanataka heshima siku akikata moto waonekane Wana nyumba nzuri.
 
Mtumie wataalamu kujenga sio kujificha kwenye kusema wivu wa kimaskini. Maskini ni huyo anayejenga ghorofa kwa kutumia nondo za kufungia mkaa, ili naye awe ana ghorofa.
Nani anabeba huo mzigo wa maafa? Kuna watu akili zimekaa kwa nyuma badala ya kukaa kichwani
kingkong III amelike baada ya kusoma nondo za kufungia mkaa
 
Back
Top Bottom