Upatu, DECI, Babu Loliondo na sasa Edward Lowassa!

Mbambo ndio nani?.... Msitupotezee focus.... Leo Lowassa anatingisha Mtwara

Jamani naomba msaada wa swali hili: hivi kweli jamani ilikuwaje tukalizwa na upatu, deci na loliondo? Kwa nini hatukujifunza toka kisa cha upatu? Naomba kuelimishwa ili labda nami nibadilishe gia angani?
 
nasikitika kuona wachumia tumbo wanahangaika na lowasa pasipo kujuiliza kwa nn mtu huyu mwenye tuhuma lukuki anazidi kujipatia mashabaiki wengi kila siku japo anatukanwa na kudhalilishwa kila kona...jibu ni fupi tu..lowasa kaonyesha kuthubutu kaonyesha kweli anataka kuleta mabadiliko na ndio mana katoka ccm..nyie wote wenye tuhuma dhidi yako hamna anayekwenda kumshtaki ili kudhihirisha uchafu wake bali mnabaki kumshambulia tu...mnataka kutuamnisha kwamba lowasa ndo chanzo cha matatizo ya taifa hili..hovyo kabisa..raia wanampemda sababu wana imani nae kwamba atabadilisha maisha yao ndo mana hata kashfa zake hawaziangalii tena..ccmm nzima inejaa wala rushwa na bado wanaongeza wapya lkn hamna mtu anaesema....na kwa vile mnaona watanzania ni wajinga wasio kua na akili basi watamchagua lowasa na atawafanyia yale ambayo ninyi hamuwezi kufanya...kwa maandishi yako ww umeonyesha ni cccm halisi na woga wako ni lowasa..poleni sana hao wenye iq ndogo ninwengi na wanakwenda kufanya msichokitaka

Ndo wale wale
 
Attachments

  • 1442839172949.jpg
    1442839172949.jpg
    15.9 KB · Views: 209
Unazungumzia shamba la Sumaye kwani hao Vijana unaowatetea wakipewa ilo shamba watalima??? Bila kuwezeshwa au kuwa na mitaji. Jamani mwandishi ebu acha propaganda mbona Tanzania tunayo pori kubwa sana. Kama umetembea Tanzania nzima au baadhi ya sehemu utaona mapori tele. Au shamba la Sumaye ndio lenye rutuba.

Deci kwanini usiilaumu CCM kwa kukubali kuisajili, ikatapeli raia mwishowe ccm wakachukua pesa zote zilizokuwa bank na kufunga. Waulize MACCM pesa za wana deci ziko wapi???

Afya ya Lowassa kwani wewe ni daktari wake??
Mbona Kikwete tumemwona akianguka majukwaani, juzi juzi hapa kakaa Marekani mwezi na ushee akitibiwa mbona usemi.

Magufuli yy ni mzima muulize alienda Samunge kwa babu kufuata nini??? Na ulaya uwa anafuata nini kila mwaka. Unajuaje kama nae anatumia dawa za kuongeza nguvu.

Nakala zako waandikie wanaccm wenzio kwasasa sio rahisi kutubadilisha tuache na akili zetu finyu. Wewe mwelewa endelea na kuwaelemisha MACCM
 
Huyo ambaye ccm hawamtaki ndio sisi tunamtaka. Kwani walitaka kutuchagulia mgombea? Ni zamu yao kulia na kusaga meno mwaka huu.
 
Unazungumzia shamba la Sumaye kwani hao Vijana unaowatetea wakipewa ilo shamba watalima??? Bila kuwezeshwa au kuwa na mitaji. Jamani mwandishi ebu acha propaganda mbona Tanzania tunayo pori kubwa sana. Kama umetembea Tanzania nzima au baadhi ya sehemu utaona mapori tele. Au shamba la Sumaye ndio lenye rutuba.

Deci kwanini usiilaumu CCM kwa kukubali kuisajili, ikatapeli raia mwishowe ccm wakachukua pesa zote zilizokuwa bank na kufunga. Waulize MACCM pesa za wana deci ziko wapi???

Afya ya Lowassa kwani wewe ni daktari wake??
Mbona Kikwete tumemwona akianguka majukwaani, juzi juzi hapa kakaa Marekani mwezi na ushee akitibiwa mbona usemi.

Magufuli yy ni mzima muulize alienda Samunge kwa babu kufuata nini??? Na ulaya uwa anafuata nini kila mwaka. Unajuaje kama nae anatumia dawa za kuongeza nguvu.

Nakala zako waandikie wanaccm wenzio kwasasa sio rahisi kutubadilisha tuache na akili zetu finyu. Wewe mwelewa endelea na kuwaelemisha MACCM

Swali;
1. Mbona yeye mwenye uwezo wa kulima halimi
2. Kwa hiyo siku ikithibitika kuwa the three maskerteers wamewatapeli wananchi utakuja kusema kwa nini msajili wa vyama aliwasajili?
Si ndiyo maana wazungu wamesema tuna low IQ! Hatuwezi kuchukua hatua za kujinasua zaidi ya akili zetu kuishia kutafuta nani atasukumiwa kesi mambo yatakapoharibika.
3. Unapolinganisha malaria na advanced progressive parkinsonism huoni kwamba unalinganisha giza na nuru
 
Unazungumzia shamba la Sumaye kwani hao Vijana unaowatetea wakipewa ilo shamba watalima??? Bila kuwezeshwa au kuwa na mitaji. Jamani mwandishi ebu acha propaganda mbona Tanzania tunayo pori kubwa sana. Kama umetembea Tanzania nzima au baadhi ya sehemu utaona mapori tele. Au shamba la Sumaye ndio lenye rutuba.

Deci kwanini usiilaumu CCM kwa kukubali kuisajili, ikatapeli raia mwishowe ccm wakachukua pesa zote zilizokuwa bank na kufunga. Waulize MACCM pesa za wana deci ziko wapi???

Afya ya Lowassa kwani wewe ni daktari wake??
Mbona Kikwete tumemwona akianguka majukwaani, juzi juzi hapa kakaa Marekani mwezi na ushee akitibiwa mbona usemi.

Magufuli yy ni mzima muulize alienda Samunge kwa babu kufuata nini??? Na ulaya uwa anafuata nini kila mwaka. Unajuaje kama nae anatumia dawa za kuongeza nguvu.

Nakala zako waandikie wanaccm wenzio kwasasa sio rahisi kutubadilisha tuache na akili zetu finyu. Wewe mwelewa endelea na kuwaelemisha MACCM

Swali:
1. Hivi huyo mwenye uwezo wa kulima mbona ameshindwa? Hivi ni uwezo au nia? Hivi huko kwenye mapori kwa nini asiende yeye mwenye uwezo awaachie vijana maskini hapo karibu na pasafi?
2. Hivi kumbe mnacheza kamari tu kwamba mambo yakiharibika tutawalaumu waliokisajili chama cha hao watatu?
3. Hivi unapolinganisha afya za hao wawili huoni tu kuwa ni sawa na kulinganisha giza na usiku?
4. Hivi kwa maoni yako nani alitakiwa awe wa kwanza kukanusha ya loliondo kati ya hao 3 sterling's? Au huko ndiyo kulikotolewa dawa ya kuzinanihii IQ zinazoonekana kuwa zilivyo?

Kwa majibu haya kweli sisi tuliowengi IQ zetu basi sheda.
 
Kwa hiyo huyu jamaa anataka nini, kama watanzania ni watu wa kufuata mkumbo safari hii wamefuata mkumbo wa Lowassa!

Mbona hasemi tulivyoburuzwa kwenye EPA, Richmond, Esrcow, mikataba ya madini na gas? Kwa nini kuburuzwa au kufuata mkumbo iwe na uzito [ale tu linapokuja urais wa Lowassa?

Sasa unakataa au unakubali kuwa tunashida ya udogo wa IQ? Kama unajibu la zaidi ya ndiyo au hapana tuambie hapa acha story
 
sijasoma mpaka mwisho ial sijajua what iz the concern mana kalinganisha(tittle) mambo ya fedha(deci,upatu) mambo ya tiba(babu loliondo) na mambo ya uongoz(uchaguz /mgombea wa ukawa ENL) sijaona kama ivyo vitu vina function sawa mpaka akaamua kulinganisha

Sasa kama hujasoma mpaka mwisho kinachofanya uchangie nini?
 
Aha! Kumbe siko peke yangu kwa walioushukia geresha hii ya kisiasa. Ni zaidi ya geresha, ni utapeli wa kisiasa na Watanzania waliotuliza vichwa vyao watauchinjilia mbali Oktoba 25. Mbwambo, nitaendeleza hili wazo la Lowassa kama Deci...

Huna madhara. Tumeshaamua.
 
Aha! Kumbe siko peke yangu kwa walioushukia geresha hii ya kisiasa. Ni zaidi ya geresha, ni utapeli wa kisiasa na Watanzania waliotuliza vichwa vyao watauchinjilia mbali Oktoba 25. Mbwambo, nitaendeleza hili wazo la Lowassa kama Deci...

Toeni Precise Solution Watanzania wafanye nini sio Mnaponda tu Ukawa.
 
Aha! Kumbe siko peke yangu kwa walioushukia geresha hii ya kisiasa. Ni zaidi ya geresha, ni utapeli wa kisiasa na Watanzania waliotuliza vichwa vyao watauchinjilia mbali Oktoba 25. Mbwambo, nitaendeleza hili wazo la Lowassa kama Deci...
Geresha hizi zilianzishwa na ccm,huwezi amini pamoja na 40% ya ardhi yetu kufaa kwa kilimo still tunaimport kila kitu,Viongozi wetu wanafanya biashara za shule na vyuo na hivyo kuua vyuo na shule za umma,

Semeni msemavyo,danganyeni muwezavyo-Kama mpaka hapa hamjaona ubaya wa ccm kwa nchi yetu na wadanganyika basi lets go for Lowasa maana hatuna namna nyingine
 
Tunajua hao jamaa watatu ni janga la kitaifa,,,mbowe,lowasa na sumaye...na watatuliza ...lakini ni bora kufuata mkumbo huu wa mabadiliko kuliko kuongozwa na ccm tena!!!
IQ zetu zimedumazwa na utawala wa CCM ,kama wakichukua tena nchi ,baada ya 10yrs wote tutakuwa mataahira kabisa!!!
Ndio maana hii nchi UKAWA hii hamtaichukua kamwe kwa akili kama hiz. KAMWE!
 
Tunajua hao jamaa watatu ni janga la kitaifa,,,mbowe,lowasa na sumaye...na watatuliza ...lakini ni bora kufuata mkumbo huu wa mabadiliko kuliko kuongozwa na ccm tena!!!
IQ zetu zimedumazwa na utawala wa CCM ,kama wakichukua tena nchi ,baada ya 10yrs wote tutakuwa mataahira kabisa!!!

Ukiona mapovu namna hii ujue misumari yenye kutu mitatu imepigilia vilivyo kwenye makalio.
 
Watu wamechoshwa na uongo ule ule wanataka uongo mpya
 
lowassa ndiye tatizo la hii nchi kuwa masikini ILA HAMNIAMBII KITU LAZMA NIMPIGIE

HIYO CHATO ina maji?????PAMAJA NA KUWEPO ZIWA KUBWA nearby na ardhi/landscape ni tambarare????

IQ yako ni sub zero! Kila la kheri tarehe 25.10.2015
 
kama vipi hata magufuli ahame ccm aje kwenye mabadiliko nje ya ccm maana ccm ni gunia la mavi halibebeki linanuka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
viva Lowasa mzee wa maamuzi magumu!
 
Jamani naomba msaada wa swali hili: hivi kweli jamani ilikuwaje tukalizwa na upatu, deci na loliondo? Kwa nini hatukujifunza toka kisa cha upatu? Naomba kuelimishwa ili labda nami nibadilishe gia angani?
Mkuu huo wote ni sehemu ya uchafu uliosababishwa na ccm na serikali yake ndo maana Tumedhamilia kuichinjilia ccm mbali mwaka huu
 
Back
Top Bottom