Pima mwenyewe
JF-Expert Member
- Nov 20, 2012
- 891
- 237
..kichekesho ni kwamba Dr.Magufuli alibugia kikombe cha babu wa loliondo.
..tena alinogewa mpaka akaahidi kujenga barabara ya kwenda kwa babu.
Ocampo four
Alikuwa anamjengea babu white ili kumrahisishia safari maana yeye angehitaji doze za kutwa mara 3
Last edited by a moderator: