Pima mwenyewe
JF-Expert Member
- Nov 20, 2012
- 891
- 237
....wabongo bana..maneno meengi!!....woote hao awe magufuli ...awe lowassa wote sawa tu....hata kimaadili hawana tofauti...na kama ni shutma za ufisadi wote wanazo....na hakuna anachoweza kufanya magufuli atashindwa lowassa..wote ni wale wale tu....na historia zao kiutendaji zinaonyesha hivyo pia....
....kama ni maamuzi magumu wote wana historia hiyo...magufuli mnampamba na ujenzi wa mibarabara(japo haikai sana inajaa mashimo)....nae lowassa alishughulikia shule za kata ccm wanazotamba nazo leo...na pia alisitisha kampuni feki ya maji dar...na pia alishiriki kupeleka maji ya ziwa victoria kule shinyanga...
...hivyo nawashangaa sana wabongo kwa kejeli zao dhidi ya lowassa...maana kwangu mimi kwanini lowassa aonekane upatu na si magufuli???...kama ni upatu... kwangu hata magufuli anaweza kuwa upatu...kama ambavyo wabongo mlichezewa upatu wa maisha bora kwa kila mtanzania kwa miaka 10 iliyopita.....
....ccm acheni kejeli sikilizeni hoja....hili msipoangalia litawagharimu....namwona lowassa akipata point sana juu ya hili....maana yeye kimya...japo anajua maovu tele ya utawala wa ccm...kwangu mimi aliyebadiilika ni lowassa...kwa kuhama chama kinacholea mafisi na kuhamia kwenye matumaini ya mabadiliko...
Sorry TNKL. Nilikuwa na send hoja yangu kwa ndugu yetu nderingosha na siyo kwako. Mdee ndugu yetu ni hivi: mtu Anahama uzeeni ameshachoka hoi. Badala ya kulea wajukuu anaanzisha safari. Hivi kwa nini siyo ujanani? Kwani inahitaji ka miaka mingapi kugundua kuwa ulikuwa unaingiaga choo cha kike? Kama mamiaka yote hayo hakugundua basi kuna mawili tu: bongolala ama alikuwa anakula vitamu taratiiibu! Sasa kushtukia kwamba anaweza kutemeshwa ndiyo maana anatafuta kwa udi na uvumba jinsi ya kuvilinda. Umeelewa?