Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Nimekaa na kuwaza kutokana na Hali halisi ya sasa hivi nchini Tanzania unaweza pata mke bikra ukamwoa ??? Na si mnajua mke halali kiserikali ni miaka 18 je wapo bikra siku hizi????
Mkuu mi nna balaa nlipiga bikra utotoni kipindi cha michezo ya kibaba Baba na kimama mamaWapo wa Kumwaga.....inamaana we hujawai piga bikra hata mmoja.......................?
MHHHH.....NGOJA NIPITENiliapa siwezi oa mwanamke ambaye sikukata utepe. Hata Kama atachepuka lakini Mimi ndio ufunguo.
Am the king of the jungle.
Siku zote namba moja.
Sikubali kupewa wala kuwa namba mbili.
Bikra wamejaa mkuu.
Ila hao wanaokutisha kuwa bikra imepitwa na wakati wamezoea kuwa namba mbili, kukuta mlango upo wazi wasio ufungua wenyewe. Yaani ni Kama mnyama aitwaye fisi ambaye huweza kula mzoga asiouua yeye.
Mwenye akili atanielewa lakini waliozoe kula mizoga watakuja na Povu hapa
Vipi wewe ni wale fisi wa kula mizoga?MHHHH.....NGOJA NIPITE