Upatikanaji wa Petro na diesel Songea kama enzi za maduka ya ushirika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upatikanaji wa Petro na diesel Songea kama enzi za maduka ya ushirika!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MeanMan, Oct 23, 2012.

 1. MeanMan

  MeanMan Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jana jioni nimeenda kituo kimoja cha mafuta nikiwa nataka lita 50 za petrol, nikaambiwa kwa magari wanatoa lita 20 tu, kwa pikipki lita zisizozidi 5!!! Sababu:"Ndio maelekezo tuliyopewa na maboss wetu". Leo ndio kabisa hawauzi hata lita 1, wanakuambia mafuta yamekwisha!!! Jamani vipi pande nyingine huko?
   
 2. m

  mwitu JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  huku singida yapo
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu, Mwambieni kamanda Fuime wa CDM, Muandamane kama mlivyofanya kwenye umeme
   
 4. Watunduru

  Watunduru Senior Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hali ni hiyo hiyo kwa tunduru na masasi,inasemekana kuna mgomo baridi kwa wafanya biashara wa mafuta nchini kwamba wanataka bei ipande.hali si nzuri kwa wasafiri.
   
 5. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  + mtwara
   
Loading...