Upatikanaji wa matofari ya kuchoma dar

madameA

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
435
176
Habari wadau,
Naomba kuuliza kwa Dar naweza kupata wapi matofari ya kuchoma. Yeyote anayefahamu anijuze na gahara yake.
Pia kama mnajua yale ya kuunga kwa Cement na yale ya kuchomeka, yapi ni imara na yanayopendeza?
Karibu kwa mwenye kujua hili.
 
Mdau, swali la muhimu hilo ngoja tusubiri majibu. Kwa ujumla mie nina uzoefu na tofari za kupanga bila cement (hydraform). yana advantages zifuatazo: 1. Hayahitaji maji wala cement wakati wa kujenga, 2. Yanahimili "settlement" hayapati cracks kirahisi yanafanya kujiset kama ardhi itatitia -- ila msingi inabidi utumie tofari za kawaida au mawe. 3. yanafaa kutumia kwenye partitions ambazo hazihitaji kuta nzito. 4. Yanahamishika kirahisi ..... na mengineyo mengi.
 
mkuu vipi bei za matofari haya ukilinganisha na zile za choma na cement(kufyatua)
 
Namimi nayahitaji sana hayo matofali ya uchoma au hayo ya hydroform naombeni namba za simu za hao wauzaji pls!
 
Habari wadau,
Naomba kuuliza kwa Dar naweza kupata wapi matofari ya kuchoma. Yeyote anayefahamu anijuze na gahara yake.
Pia kama mnajua yale ya kuunga kwa Cement na yale ya kuchomeka, yapi ni imara na yanayopendeza?
Karibu kwa mwenye kujua hili.
Mkuu kuna mtu ameniambia yanapatikana Gongo la mboto ila hajui ni sehemu gani hasa. Hebu tafiti au kama kuna mdao humu anatokea mitaa hiyo atujuze. Nimeambiwa kuna kiwanda huko.
 
Back
Top Bottom