Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,384
- 5,619
Duh.......aiseeeeKodi ya fremu hapa Kariakoo ni wastani wa milioni saba kwa mwezi.
Hicho ni kiasi cha chini.
Kwa kawaida wanapokea hela miezi kumi na mbili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kodi ya fremu hapa Kariakoo ni wastani wa milioni saba kwa mwezi.
Hicho ni kiasi cha chini.
Kwa kawaida wanapokea hela miezi kumi na mbili.
Mwenyewe nimeguna..ila nimekubali tu kwa kuwa sina mengi ya kubisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ume mlisha tango pori mwenzako ww
Ngoja wazoefu wa kkoo waje lakini nnavo faham mm zipo frame zina anzia laki4 kupanda juuMwenyewe nimeguna..ila nimekubali tu kwa kuwa sina mengi ya kubisha
Ahsante mkuu, hizi chupi na boxer huwa ni mtaa gani wanakuwepo?Inategemea na maeneo! Kwaiyo biashara yako ya nguo lazima upate mitaa husika, mi mwenyewe niko Kariakoo ila hapa Gerezani kwa fremu za ndani huku tunalipa 300,000/= kwa mwezi.
Kule Congo, sikukuu na Swahili fremu kufika milion 1 nakuendelea kwa mwezi ni kawaida sana.
Wazee wa chai kkoo unafata taratibu za kawaida unapata frame hizi mambo za kuua ua sijui mnazitoaga wapiUnao moyo wa kuua Mama yako mzazi? Kama Yes, tafuta Mkinga yeyote akusaidie namna ya kupata frame pale K'koo fasta.
Natumaini pia.. coz wengi watajifunzangoja wazoefu wa kkoo waje lakini nnavo faham mm zipo frame zina anzia laki4 kupanda juu
Sijajua chupi, boxer , tight..wanakaa mtaa ganiunataka ufungue mitaa gani!
kariakoo kila eneo lina biashara zake
Aisee..acha tu mkuuwazee wa chai
kkoo unafata taratibu za kawaida unapata frame hizi mambo za kuua ua sijui mnazitoaga wapi
Sijajua chupi, boxer , tight..wanakaa mtaa gani
Acha uongoKodi ya fremu hapa Kariakoo ni wastani wa milioni saba kwa mwezi.
Hicho ni kiasi cha chini.
Kwa kawaida wanapokea hela miezi kumi na mbili.
Alafu kuna watu wanataka wadandie kwa kulipa kitambulisho cha elfu Ishirini alafu wapange tu Mzigo eti sababu kuna wateja....Inategemea na maeneo! Kwaiyo biashara yako ya nguo lazima upate mitaa husika, mi mwenyewe niko Kariakoo ila hapa Gerezani kwa fremu za ndani huku tunalipa 300,000/= kwa mwezi.
Kule Congo, sikukuu na Swahili fremu kufika milion 1 nakuendelea kwa mwezi ni kawaida sana.
Kwani ukisema hujui utapungukiwa nini mtoto wa geti kali weweKodi ya fremu hapa Kariakoo ni wastani wa milioni saba kwa mwezi.
Hicho ni kiasi cha chini.
Kwa kawaida wanapokea hela miezi kumi na mbili.
Kodi ya fremu hapa Kariakoo ni wastani wa milioni saba kwa mwezi.
Hicho ni kiasi cha chini.
Kwa kawaida wanapokea hela miezi kumi na mbili.
nashangaaga sana watu wanatafuta fremu kariakoo,huwa najiuliza kwani mpaka ufanikiwe lazima huishi dar?nakupa maujanjatafuta fremu dodoma then pafanye hapo ulipochukua hiyo fremu kama kariakoo yani chukua bidhaa kwa wingi huko kariakoo kwenu zimwage dodoma,matangazo kibao na kuhakikishia utapiga pesa nzuri tuiNaelewa Kariakoo ni sehemu yenye ushindani katika umiliki wa fremu na pia gharama kubwa ya kulipia rent.
Nataka nijikite katika biashara ya underwear (chupi, boxer, sox..etc). Ningependa kujua ni njia gani ya kufanya kupata fremu k.koo.
Changamoto zipi nitakutana nazo wakati wa process ya kupata fremu. Kodi ya pango inakuwa katika wastani wa bei gani.
Mengine zaidi...etc
Karibuni.