samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
wadau nemepata tetesi kwamba mwezi huu serikari inampango wakuongeza mishahara kwa watumishi,kwa yeyote atakaye anza kazi na aliyopo kazini mshahara utakuwa sh million moja,naomba wenye ufaham juu ya hilo atupe ufafanuzi.
Ww nani ulipwe mil 1?
Kwani mshahara wa milion 1 ni mkubwa ?
yani we unajisikiaga!kwa hyo hapo unataka kuwaambia nin wafanyakazi wanaolipwa mshahara wa kima cha chini ambao hata laki 2 haufiki?
MKATA KIU unamaanisha wanaolipwa chini ya m1 ni wezi ama waibe ndo watoke.. ww unalipwa nn ama labda nawe ni mwizi?