upandishwaji wa mishahara kwa watumishi walio na kiwango cha degree moja!

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,756
1,500
wadau nemepata tetesi kwamba mwezi huu serikari inampango wakuongeza mishahara kwa watumishi,kwa yeyote atakaye anza kazi na aliyopo kazini mshahara utakuwa sh million moja,naomba wenye ufaham juu ya hilo atupe ufafanuzi.
 

Kobaba

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
473
500
wadau nemepata tetesi kwamba mwezi huu serikari inampango wakuongeza mishahara kwa watumishi,kwa yeyote atakaye anza kazi na aliyopo kazini mshahara utakuwa sh million moja,naomba wenye ufaham juu ya hilo atupe ufafanuzi.
unaumwa wewe!!
 

luhombi

Member
Oct 17, 2012
85
0
walishindwa kima cha chini kuwa laki tatu, watawezaje kulipa milion moja? swali hili hukustahili kuwauliza watu,tumia bongo yako kutathmini mambo
 

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,756
1,500
daah mbona mnatokwa na mapovu jaman? Nimeuliza kutaka kujua, kweli usicheze na mshahara wa mtu nimeamini?hasira hizi zinaonyesha nijinsi gani maisha yalivyo magumu na vijimishahara visivyo kidhi haja! Najuta kwanini nimeuliza swali hili tarehe hizi hatari,poleni watanzania wakati ww unadhani kulipwa m1 ni miujiza, mafisadi wanalipana kwa kukaa kikao kimoja! CHUKUA HATUA.
 

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,157
2,000
mmmh! hizi si tetesi na kuna zi uliwah kuletwa hapa this wk ukiongelea ishu za salary increment ila tulipata uhakika kwamba ni kwa watumish wa serikali wale wa ngazi za juu, na si kwa wale wa ngazi za chini sasa hapo chukulia ni kama makamishna, wakurugenzi, maafisa tawala nk sio mwl wala polisi wala karani
 

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,279
2,000
yani we unajisikiaga!kwa hyo hapo unataka kuwaambia nin wafanyakazi wanaolipwa mshahara wa kima cha chini ambao hata laki 2 haufiki?
Na imani haujakua bado, na ni bado tegemezi, mi nimeuliza kama huo mshahara ni mkubwa? Na sijasema kama mshahara wa laki 2 nao ni mkubwa, but kwa kukusaidia tu mdogo wangu mshahara wa million 1 ni wa kawaida sana na bila ujanja ujanja au kusaidiana na mwenzako hutoki kwa huo mshahara, kwa kukadiria kama 1m gross net salary inakuwa lak 7, sasa igawe kwenye kodi, nauli, chakula na mengineyo kisha unipe jibu,, wakati natoka chuo nilikuwa na mawazo kama yako but ukweli nikaja kuujua hali ilivyo, hiyo ni hela ya ndogo sana kwenye majukumu labda uwe mwizi ofisini
 

hosnem

Member
Nov 15, 2012
20
45
Ndugu yangu ni kweli watapandisha mishahara katikati ya mwaka wa fedha?. Kama ni kweli basi itapunguza ugumu wa maisha.
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,386
2,000
MKATA KIU unamaanisha wanaolipwa chini ya m1 ni wezi ama waibe ndo watoke.. ww unalipwa nn ama labda nawe ni mwizi?
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,386
2,000
nachojua kutoka kwa mtumishi kunategemea sehemu alipo,lakin penye food supply k.v Mbeya,Bkb,Mwnz n.k ni rahis coz unao
 

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,279
2,000
MKATA KIU unamaanisha wanaolipwa chini ya m1 ni wezi ama waibe ndo watoke.. ww unalipwa nn ama labda nawe ni mwizi?
Mimi naunga unga tu mjini hapa na hiyo mishahara, hapa nawaeleza ukweli wadogo zangu,,

Watanzania kibao ni wezi as mishahara tunayolipwa ni almost hela za kula tu, but watu wanajenga, magari wanaendesha na mwengineyo, ukikua utayaona ndugu,,, kiukweli asilimia 80 ya watanzania ni mafisadi, ukilinganisha mshahara na mali zao haziendani.

Kiukweli ukipata kazi ya mashahara may be 1m mnayoisema na hiyo kazi haina ujanja ujanja wowote wala marupurupu yeyote ni balaaa... Maana pesa ya Jk haina nguvu kabisa. Nawakaribisha kwenye corporate world mje mjioneee hali ilivyo
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,386
2,000
unaweza kuspare amount kbwa ukainvest smwhre,ukiona chakula tu unatumia 50% ya salary,then kutoka inahtaji jitihada sana
 
Top Bottom