Nimewapata jamaa wa Kerege pale Bagamoyo.Mkuu hata mimi nina shida kama yako....mada kamahizi huwa na wachangiaji adimu sana! ngoja tuvumilie
Mkuu unaweza kunisaidia mawasiliao yao na wanaitwaje?Nimewapata jamaa wa Kerege pale Bagamoyo.
Inabidi tu niingie gharama maana hii breed niliyonayo ni ya Afrika Kusini (red meat) hivyo ufugaji wake unahitaji wataalam wakushauri na ufuate vigezo...
Nimeona watu wengi (majirani) wanafuga nguruwe lakini hawajali kanuni za ufugaji ambapo product ikishachinjwa nyama inashindana na mafuta...
Wanabodi,
Naomba msaada kufahamu wataalam wa kupandisha nguruwe kwa njia ya mrija waliopo Dar.
Hapana mkuu hii inafaida zaidi hata kutumia ng'mbeNguruwe ni hasara kutumia hiyo njia
Waone Pherma Pig Farm wana utaalamu wa AI. Unaweza kupitia page yao insta.Wanabodi,
Naomba msaada kufahamu wataalam wa kupandisha nguruwe kwa njia ya mrija waliopo Dar.
Wanabodi,
Naomba msaada kufahamu wataalam wa kupandisha nguruwe kwa njia ya mrija waliopo Dar.
huduma zenu zikoje? na bei pia je unaweza kupandisha mbegu bora za South kwa nguruwe wetu wa kawaida?Mimi n mmoja wa wataalum tunaopandisha kwa njia hii ya mirija mpya kwa nguruwe tunapandsha mbegu kutoka south zenye matokeo mazuri zaid kama duroc TNTtemple petrain na landrace
Naomba majibu hapa mkuuhuduma zenu zikoje? na bei pia je unaweza kupandisha mbegu bora za South kwa nguruwe wetu wa kawaida?
Aina gani unayo, na bei ikojeNauza nguruwe watoto na wakubwa kwa ajili ya kufuga, napatikana Mwanza nitafute kwa namba hizi 0719832015
Karibuni sana
Username yako ya Kiislamu halafu unashadadia matangazo ya ufugaji nguruwe. Subhanallah0769175076
Saddle back 80,000 kitotoAina gani unayo, na bei ikoje