Upandishaji wa Nguruwe kwa mirija

Mkuu hata mimi nina shida kama yako....mada kamahizi huwa na wachangiaji adimu sana! ngoja tuvumilie
 
Wengine Tunasubiria ikiishwa kaangwa na kushushia bapa ima glasi ya laga!
Screenshot_20210514-115556.jpg
 
Mimi uwa nanunua kwa ajili ya kuchinja na kuuza, uwa sifugi. Ngoja wataalam waje
 
Mkuu hata mimi nina shida kama yako....mada kamahizi huwa na wachangiaji adimu sana! ngoja tuvumilie
Nimewapata jamaa wa Kerege pale Bagamoyo.

Inabidi tu niingie gharama maana hii breed niliyonayo ni ya Afrika Kusini (red meat) hivyo ufugaji wake unahitaji wataalam wakushauri na ufuate vigezo...

Nimeona watu wengi (majirani) wanafuga nguruwe lakini hawajali kanuni za ufugaji ambapo product ikishachinjwa nyama inashindana na mafuta...
 
Mkuu unaweza kunisaidia mawasiliao yao na wanaitwaje?
 
Mimi n mmoja wa wataalum tunaopandisha kwa njia hii ya mirija mpya kwa nguruwe tunapandsha mbegu kutoka south zenye matokeo mazuri zaid kama duroc TNTtemple petrain na landrace
Wanabodi,

Naomba msaada kufahamu wataalam wa kupandisha nguruwe kwa njia ya mrija waliopo Dar.
 
Mimi n mmoja wa wataalum tunaopandisha kwa njia hii ya mirija mpya kwa nguruwe tunapandsha mbegu kutoka south zenye matokeo mazuri zaid kama duroc TNTtemple petrain na landrace
huduma zenu zikoje? na bei pia je unaweza kupandisha mbegu bora za South kwa nguruwe wetu wa kawaida?
 
Mimi n mmoja wa wataalum tunaopandisha kwa njia hii ya mirija mpya kwa nguruwe tunapandsha mbegu kutoka south zenye matokeo mazuri zaid kama duroc TNTtemple petrain na landrace
Mpo wapi?

Nakuja inbox
 
Nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa ajili ya kufuga, napatikana Mwanza nitafute kwa namba hizi 0719832015
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom