Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,314
Mkuu kwani waislamu hawataki pesa ya nguruwe ?hizo Ni fursaUsername yako ya Kiislamu halafu unashadadia matangazo ya ufugaji nguruwe. Subhanallah
Mkuu kwani waislamu hawataki pesa ya nguruwe ?hizo Ni fursaUsername yako ya Kiislamu halafu unashadadia matangazo ya ufugaji nguruwe. Subhanallah
Mkuu bado upo? Naomba unitextMimi n mmoja wa wataalum tunaopandisha kwa njia hii ya mirija mpya kwa nguruwe tunapandsha mbegu kutoka south zenye matokeo mazuri zaid kama duroc TNTtemple petrain na landrace