Upande: hatimae nipo hapa live band jirani na royal hotel

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Kwa wale wenyeji wa dodoma watakua ananielewa nikaona nije hivi viwanja vya live band. Hapa kuna wahudumu kiboko yani kila mtu na mavazi yake. Ila sauti ya hii live band ni kali adi tumboni.nitazid kuwapa update. Nakuambia hapa ndani mtu kibao dah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom