Upako wa ki nigeria.........

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,874
Nasikia sana juu ya huu upako wa KI NIGERIA....

JE UKOJE???????

MAANA YAKE NINI HASA??????

UTAUJUAJE HUO UPAKO WA KINIGERIA???????

NI WACHUNGAJI GANI HASA WANA HUO UPAKO WA KINIGERIA?????????
 
hayo ni maneno ya mtaani ata kwenye khanga yapo hayo cunajua wabongo kwa kubatiza majina
 
Magumashi, wanaendaga university of magumashi naija, hapa tz mifano mingi tu..lakini utawajua kwa mbwembwe zao kutembea escot, misafara ya magari, kuvaa suti zaina fulani na wanapenda publicity hao..wana hubiri kwa live tv au wananunua vipindi vya tv.
 
Back
Top Bottom