Leta ushahidi kuwa Yesu kaja kuikamilisha Taurati.
Sihitaji kukupa ushahidi wowote!. Kasome Injili ndani ya kitabu chenu kitukufu, kamsome Nabii aitwae Issa Bin Maryam alifanya nini?!.
Sasa hiyo unaijuwa maana yake Kiswahili? si u ajisuta mwenyewe! ni hii hapa;Matthew 5:17-18
Do not think that I came to destroy the Law or the Prophets. I did not come to destroy but to fulfill.
For assuredly, I say to you, till heaven and earth pass away , one jot or one tittle will by no means pass from this law till all is fulfilled.
Ushahidi huo Mbibi Lete hoja sasa.
Ila Mbibi haya mambo huyawezi itafikia hatua utaomba Msaada Wewe kwa jamaa zako.
Leviticus 11:9-12.
These you may eat of all that are in the water: whatever in the water has fins and scales, whether in the seas or in the rivers-that you may eat.
But all in the seas or in the rivers that do not have fins and scales, all that move in the water or any living thing which is in the water, they are abomination to you.
They shall be abomination to you; you shall not eat their fresh, but you shall regard their carcasses as an abomination.
Whatever in the water does not have fins or scales that shall be an abomination to you.
Mbibi ushahidi huo hapo sasa!
Tunatakiwa na Mungu kula samaki wenye Magamba na mapezi tu.
Sasa Pweza,Chaza,kaa,pronzi,dolphin,ngisi na taa. Hawa samaki ni haramu.
Kwa hiyo Mbibi usiangalie nguruwe tu kua ni haramu wakati vingine unakula!
Nitakuja kukupa na viumbe vya nchi kavu wanyama wafaao kuliwa na wasiofaa!
Maana tusiangalie nguruwe tu wakati ngamia viboko na ngiri tembo sungura na wengine wengi unakula!
Napia ata jamii ya ndege nitakuwekea sio kula mabata tu bila kuangalia Miguu Yao ikoje eti kisa nyama ya bata tamu!
Mbibi lol unachekesha!
Sasa hiyo unaijuwa maana yake Kiswahili? si u ajisuta mwenyewe! ni hii hapa;
[SUP]Mat 5:17-18 [/SUP]Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike. [SUP]18 [/SUP]Kwa maana ninawaambia hakika Lakini atakayetii amri hizi na kuwafundisha wengine kuzitii a taitwa mkuu katika Ufalme wa mbinguni.
Shabaha ya Taurati ikamilike siyo kuwa Yesu kaja kufuta au kuongeza! sasa mnaambiwa kwenye walawi kuwa msimle nguruwe ni najisi hata mzoga wake ni najisi, nyinyi mnajidai kitokachi sio kiingoacho na mnaleta hiyo aya inawasuta. Nani kawapa ruksa ya kubadili Taurati?
Hamuoni haya?
Halafu vyote hivyo mnakula! sasa hapo mnayakubali hayo au mnayapinga?
Unaechekesha wewe, unaejikaanga mwenyewe.
sasa si tunaweka bureki tunaanza kuhadisianaIla we ni una makusudi sana....
Unajua nikiwa na wewe ulevi wangu ni nini, sasa hapo nguvu ya kukuhadithia hadithi niutoe wapi!!
Ila nilimpa Mshenga wangu Mtambuzi hicho kitabu akupatie, itabidi anieleze kakipeleka wapi na yeye!
Wewe Kweli ajuza maana huelewi!
Wewe katika hivyo vyote najisi Umeona nguruwe tu?
Hayo machukizo mengine na ya majini Na nchi kavu na angani unajilia tu?
Acha uroho Mbibi!
Mungu anasema katika wanyama wenye kwato na wanaocheua hao wafaa kuliwa!
Ngamia vipi Mbibi?
Samaki wenye Magamba na mapezi wafaa kuliwa.
Hayo mapweza na ngisi vipi Mbibi?
Wewe ndo unajilia tu vilivyo haramishwa!
Na hivyo ulivyoambiwa najisi wewe unakula tu. Ndio maana hamna haya wala hajuwi vibaya. Ikiwa maneno yenu matakatifu mnayapinga ni nani ambae hamtampinga? Mnastaajabisha sana.
Mkuu Ntuzu, Wakristo na Waislamu wote ni wana wa Nabii Abraham/Ibrahim , Wakristo ni uzao wa Isaka/Izhaque ambao ndiko aliiozaliwa Yesu/Nabii Issa Bin Mariam na Waislamu wote ni uzao wa Ishamel/Ismail yule mwana wa haram Abraham/Ibrahim aliyezaa na Hagai, kijakazi cha Kimisri cha mkewe Sara/Sarahi!.Mkuu inasemeka Issa bin Mariam haina maana kua ni Yesu!
Mkuu Ntuzu, Wakristo na Waislamu wote ni wana wa Nabii Abraham/Ibrahim , Wakristo ni uzao wa Isaka/Izhaque ambao ndiko aliiozaliwa Yesu/Nabii Issa Bin Mariam na Waislamu wote ni uzao wa Ishamel/Ismail yule mwana wa haram Abraham/Ibrahim aliyezaa na Hagai, kijakazi cha Kimisri cha mkewe Sara/Sarahi!
Wakristo, Waislamu dugu moja!, baba mmoja, mama mbalimbali!.
Pasco
Mwanakijiji mimi bado sijapata MAJERUHI WA MAPENZI.
Nielekeze naweza kupata wapi?
Ila upako toka kuzima inaonekana imekaa vizuri, sitakubali kukikosa.
sasa si tunaweka bureki tunaanza kuhadisiana
hujui tunaweza kupatamo marujanja mengine
si unamjua Mzee Mwanakijiji na kuhadithia kwake
huyu mzee noma sana huyu anaweza kufanya ukawa na timu ya mpira hivi hiv bila udhamini wa TBL?