Upako Toka Kuzimu...

FaizaFoxy kama haihusiani na dini vile! au siku yako haiendi bila walau kupiga majungu at least 50% of ur day time?
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh....karibu kitimoto jioni ya leo pale kwa mama kamche..

"Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao" (Walawi 11: 7 – 8).


Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari'ah 14: 7 – 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari'ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.

Source: Wapi Katika Biblia Kumetajwa Kuhalalishwa Kula Nguruwe? | Alhidaaya.com
 
... hi kitu ni kivuta picha ninaona kama vile TB JOSHUA na utabiri feki kama wa kutekwa raisi !
 


Kwahiyo Wewe unaona Haramu ni nguruwe tu? Na Pweza je na Ngamia?
 
Tunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
Nani alimpa utume mtume muhamad?,maana mwenyewe ametamka kupitia kuruani hiyohiyo kwamba wote wanaomwita yeye kuwa ni mtume ni wanafiki.Je,wewe ni mmoja wao?Bisha nikupe aya kwenye kuruani.
 
Na ngamia vipi?
 
Nani alimpa utume mtume muhamad?,maana mwenyewe ametamka kupitia kuruani hiyohiyo kwamba wote wanaomwita yeye kuwa ni mtume ni wanafiki.Je,wewe ni mmoja wao?Bisha nikupe aya kwenye kuruani.

Mkuu naomba unipe Mimi hiyo Aya!
Nina hamu nayo sana!
 

We imba ngonjera weee mi utamu siachi afterall nimegundua pepo yako na yangu are a very far
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…