Upakiaji abiria ulipitiliza wa basi la mumuk, arusha - bukoba - karagwe leo jumamosi - 27 Aug 2022

Nipo hapa kahama stendi, kama nusu saa iliyopita hili basi limeingia stendi. Pamoja na kuwa lilikuwa limejaa, ili lilipakia kwa kusimamisha abiria zaidi ya 40. Na wengi waliopanda simama ni watoto. Kwa ujumla kuna abiria na wafanyakazi zaidi ya 105 ndani.
Likipata ajali na kusikia majeruhi 120 ndani ya basi moja ndiyo polisi wanaanza toa matamko na operations.

Polisi trafiki fanyeni kazi yenu, sumatra fanyeni kazi yenu. Siku zote kinga ni bora kuliko tiba.

Mwamba wewe ni msafiri, msindikizaji, mshindani au labda hata ni mpiga debe wa kampuni gani? Labda tuanzie hapo mkuu?
 
Licha tunawalaumu polisi,traffic
Lakini kwanza hao abiria waliyopakizwa nankujazwa kama matenga ya nyanya ni wajng kabisa
Na najua bado wajinga dizain hiyo bado wapo
Asilimia kubwa ya wabongo ni maprimitive tu
Basi limejaa na bado unapanda
Watanzania wasipobadilika watazidi kufa kama inzi tu

Usalama wowote unaanzia kwako

Ova
 
Hoja iliyopo mezani ni basi kupakia mara mbili ya uwezo wake, na linafanya safari ndefu ya arusha - kagera.
Hapo kuna uzembe wa polisis trafiki, ni njia ndefu ambayo wanatakiwa hakikisha usalama wa abiria
Mkuu si unajua hata mamba wenye njaa nao hulia machozi tena ya damu kabisa, kwa huruma wanapomwona binadamu akihangaika kuvuka mto uliojaa pomoni?

Yangu yalikuwa kujiridhisha tu, wewe unasimama wapi hasa. Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Basi hilo linaondoka stendi kahama saa 11 :00 jioni na polisi wameshafunga ofisi zao barabarani, abiria wengi ni wa Masumbwe,Ushirombo labda na Runzewe, wakitokea kaham kwa kuchelewa,wafanyakazi wa basi wanaokota cha mfukoni, si sahihi kujaza hivyo ila muda huo wadhibiti wengi wamerejea majumbani kwao kupumzika ndipo udhaifu ulipo.
 
Traffic wanasumbua sana kinana kasema wapungue barabaran
 
Kwa kweli hili basi huwa ni shida linajaza sana abiria. Halafu abiria nao utadhani huwa hawaoni mabasi mengine, linapita Kahama jioni lakini litasubiriwa tu.
 
Wana jamii forum habari za wakati huu,, kwema huko?
Naomba kuuliza maswali mawili kwenu, mwenye utambuzi juu yake nisaodie.
Quen.1. Nimeona Lory Fuso fighter lenye plate number nyeupe. Je nayo upo uwezekano wa kupata plate number nyeupe? Maana nilizoea kuona plate number za namna hiyo zikitumiwa na mabasi ya abiria pia tax na mara nyingine daladala. Je hiyo plate number nyeupe kwenye Lory ni kawaida? Mfano. T 000 ZZZ.

QUEN. 2. Je, mteja wa TANESCO amefungiwa umeme na kupewa Identification card iliyo na herufi VIP, .maana yake ni nini?
Ahsanteni sana, naomba mnieleweshe.
 
Basi na polisi trafiki na sumatra waliopo kahama stand ni vipofu
Siwezi kuingia kwenye gari ambalo hata sehemu ya kukaa hamna. Watanzania na siie tupunguze ujuaji. Hata kama polisi na sumatra wapo kwanini mtu uhatarishe maisha yako kwani gari ikipata ajali hapo anaeumia ni sumatra au hao polisi? Tuache ujinga
 
Nipo hapa kahama stendi, kama nusu saa iliyopita hili basi limeingia stendi.

Pamoja na kuwa lilikuwa limejaa, ili lilipakia kwa kusimamisha abiria zaidi ya 40. Na wengi waliopanda simama ni watoto. Kwa ujumla kuna abiria na wafanyakazi zaidi ya 105 ndani.

Likipata ajali na kusikia majeruhi 120 ndani ya basi moja ndiyo polisi wanaanza toa matamko na operations.

Polisi trafiki fanyeni kazi yenu, sumatra fanyeni kazi yenu. Siku zote kinga ni bora kuliko tiba.
Usijali wengi wa hao abiria Ni watani zangu wahaya. Wanajifanya wasomi kumbe wanapakiwa Kama mbuzi
 
Licha tunawalaumu polisi,traffic
Lakini kwanza hao abiria waliyopakizwa nankujazwa kama matenga ya nyanya ni wajng kabisa
Na najua bado wajinga dizain hiyo bado wapo
Asilimia kubwa ya wabongo ni maprimitive tu
Basi limejaa na bado unapanda
Watanzania wasipobadilika watazidi kufa kama inzi tu

Usalama wowote unaanzia kwako

Ova
Tatizo hapo sio ujinga,tatizo ni uhaba wa mabasi kutoka eneo husika nakukumbuka hiki ni kipindi cha watoto kutoka likizo,so wanajikuta basi aidha la kutoka Karagwe to Arusha ni moja tu hawana namna.Cha kuwasaidia ni matajiri angalau kipindi cha mfumuko wa abiria mabasi yaongezwe kukidhi haja but shida nyingine ni ubinafsi wa matajiri hawataki kuingiliana route halafu shida nyingine ni umbali na eneo kuwa na jiongafia ya milima ambapo magari ya kichina hayawezi kwenda huko.So kutegemea mnyama scania tu ni changamoto kwa wanaKaragwe
 
Basi hilo linaondoka stendi kahama saa 11 :00 jioni na polisi wameshafunga ofisi zao barabarani, abiria wengi ni wa Masumbwe,Ushirombo labda na Runzewe, wakitokea kaham kwa kuchelewa,wafanyakazi wa basi wanaokota cha mfukoni, si sahihi kujaza hivyo ila muda huo wadhibiti wengi wamerejea majumbani kwao kupumzika ndipo udhaifu ulipo.
(linasaidia abiria ndani ya mji) and it's not for long journey this is good!, "Basi linafika mbezi lakini maskini yake ni Temeke linaona kuna wahitaji wanaotaka kwenda temeke na usafiri mwingine hakuna, huu ni uungwana!
 
Nipo hapa kahama stendi, kama nusu saa iliyopita hili basi limeingia stendi.

Pamoja na kuwa lilikuwa limejaa, ili lilipakia kwa kusimamisha abiria zaidi ya 40. Na wengi waliopanda simama ni watoto. Kwa ujumla kuna abiria na wafanyakazi zaidi ya 105 ndani.

Likipata ajali na kusikia majeruhi 120 ndani ya basi moja ndiyo polisi wanaanza toa matamko na operations.

Polisi trafiki fanyeni kazi yenu, sumatra fanyeni kazi yenu. Siku zote kinga ni bora kuliko tiba.

Nadhani ulikuwa na wajibu wa kufanya zaidi ya kuandika hapa, kama raia mwema ulipaswa kutoa taarifa Kwa mamlaka ili hata likitokea la kutokea tuweze kuwanyoshea vidole kwa kupuuza taarifa ulizowapa. Zaidi hapa unaweza kujikuta umekuwa mtabiri na kusema nilisema na mambo km hayo.
 
Hizi taarifa ni nzuri sana wazisome maana muda mwingi wanakuja na vyanzo vya uongo vya ajali kana kwamba wao hawausiki kabisaa...
 
Wana jamii forum habari za wakati huu,, kwema huko?
Naomba kuuliza maswali mawili kwenu, mwenye utambuzi juu yake nisaodie.
Quen.1. Nimeona Lory Fuso fighter lenye plate number nyeupe. Je nayo upo uwezekano wa kupata plate number nyeupe? Maana nilizoea kuona plate number za namna hiyo zikitumiwa na mabasi ya abiria pia tax na mara nyingine daladala. Je hiyo plate number nyeupe kwenye Lory ni kawaida? Mfano. T 000 ZZZ.

QUEN. 2. Je, mteja wa TANESCO amefungiwa umeme na kupewa Identification card iliyo na herufi VIP, .maana yake ni nini?
Ahsanteni sana, naomba mnieleweshe.
Kuhusu fuso kuwa na plate number nyeupe sijui kama ni TATIZO, maana hata sisi tunalo la familia lina plate number nyeupe!
Hivyo nitalifanyia kazi Hilo kujua sababu, sikuwahi kujiuliza Wala kufuatilia na lipo barabarani vizuri kabisa mbeya
 
Mimi nafikili ili tatizo ni lipo kwa abilia mwenyew inakuwaje unaona kabisa basi limejaa na unakubali kupanda serikali inatakiwa pia kuchukua hatua kwa abilia anaepanda gari likiwa limejaa iyo itayokomeza ujaaji wa magari hovyo
 
Back
Top Bottom