Uozo wa wakuu wa shule Bagamoyo : Mwalimu wa Geography apelekwa kusahihisha mtihani wa Kiswahili

Aliyeachwa ajipime, iweje aachwe wakati ni somo analolifundisha? Lazima anatatizo. Fanyeni kazi, acheni majungu na kuwa na mahusiano bora kazini.
 
Mkuu Mnyamakazi , najua wewe ni miongoni wa wale wenye mawazo mgando na kuishi kwa kujipendekeza kwa Mkuu ili ubebwe, kwa uzoefu hakuna watu wabaya kama baadhi ya wakuu wa shule, mara nyingi hupenda kuabudiwa na kunyenyekewa, bahati mbaya kuna baadhi ya walimu kwa njaa zao ikiwa wewe mmoja wao hujifanya watakakatifu kwa wakuu wa shule na hata kudiriki kujishusha hadhi zao ili waonekane wazuri kwa kujipendekeza ili wapata fursa mbalimbali za kuingiza kipato kupitia migongo ya wakuu wa shule.Mara nyingi walimu hawa kila kukicha hufikiria wafanye nini wawafurahishe wakuu wa shule.
 
Mkuu Lundavi inaonekana akili yako imeenda likizo, hakuna mtu asiyefanya kazi tatizo linabaki kwa baadhi ya wakuu wa shule wanatumia nafasi zao vibaya kwa kuwabeba baadhi ya walimu wanaowalamba miguu na kuwakandamiza wengine wenye kujielewa .Yawezekana una conflict of interest.
 
Kahorogoma nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri...kaa ukijua baadhi ya wakuu wa shule wameoza....wamekalia unafiki na kukumbatia walimu wanaowalamba miguu...kwa akili zako zilizochacha ni sawa mwalimu wa Civics kusahihisha mtihani wa Chemistry kisa Marking scheme ?
 
Zee la Nyeti ..kwa taarifa yako hakuna watu wenye entrepreneur skills na uwezo wa kujitafutia pesa pembeni kama hao wasiowalamba miguu baadhi ya wakuu wa shule....wengi hutumia akili zao kuongeza kipato...
 
Mp Chachandu ishu so kwenda Mimi ...ishu ni baadhi ya wakuu wa shule kulewa madaraka na kufanya madudu...kwa taarifa yako Mimi si mwalimu
 

Hata kama ulisoma hgk hairuhusiwi kusahihisha mitihani ya somo ambalo hukulisoma diploma au degree.
 
Duuu! Kwa kweli utasubiri sana maana wewe ni mwanaharakiti upumbavu. Kibaya zaidi unajiona hukosei. Jitathmini ndugu utabaki kulaumu miaka yote kujifanya huzitaki mbichi hizo kumbe unalala kuziwazia.
 
Reactions: Cyn
Inamaana huyo mwalimu hajasomea kiswahili?
 
Yaani sisi wabongo sio tatizo kutopenda kusoma yaani hata tukisoma hatuelewi mtu ameleta malalamiko na yupo katika mazingira hayo ya kazi na anayajua vizuri,sasa lijitu linakuja linaanza kusema roho mbaya mara sijui wivu.Hivi kwanini isingeulizwa kwanza kama huyo mwalimu anafundisha na kiswahili au hapana na sio kuja tu kuropoka kimaandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…