Uozo ndani ya Jeshi la Polisi... Ushahidi huu hapa

Uozo ndani ya Jeshi la Polisi... Ushahidi huu hapa

IGP mwema asipojiuzulu, basi hatuna serikali wala bunge. Hii sasa imefika kikomo, siwezi kuamini haya yanafanyika ndani ya nchi yetu. Serikali ya C.C.M ndio chimbuko la haya yote....Heri nitupe kura yangu chooni kuliko kuipigia ccm kura 2015

Uhuru, Asante kwa taarifa inayofafanua mustakabala na hatima ya amani nchini mwetu!!!
 
Uhuru, Asante kwa taarifa inayofafanua mustakabala na hatima ya amani nchini mwetu!!!
Hawa jamaa watakuja kuiondoa serikali ya CCM madarakani. Tumewachoka na unyanyasaji wao. Polisi wa tazania wmeoza kusema kweli
 
Back
Top Bottom