Uovu mkubwa CHADEMA, ni kuhusu vyanzo vya mapato!

Ngoma leo imeibukia huku? pole mkuu na uchaguzi wa Ausha!!! je umejifunza nini?

Amejifunza kuwa na ujasiri wa kuwadanganya watanzania. Angekuwa mwenye haya na huruma kwa watanzania nilitegemea angekiri kama alivyofanya Mwigulu au angepotea kama ada ya chama chake kula ganzi pale wanapobanwa lakini kadhihirisha kwa kuvaa miwani ya mbao na pamba masikioni kama vile hakufanya chochote?.
 
Ninaamini kama kuna neno linalotajwa sana vinywani mwa waTanzania basi ni CHADEMA na kwa wanaCCM basi na mawazo yao kwa kiasi kikubwa yametawaliwa na neno hilo...jiulize Hamy ni kwanini.
CCM Wanapoteza muda na nguvu nyingi sana kuiwaza cdm badala ya kuwatumikia waTz.
Kwa wa2 waelewa hiyo ni kasoro kubwa sana na inawashushia credit,wanaonekana hawajiwezi ktk nafasi waliyonayo.Jambo la kujiuliza hapa,ni kwnn cdm na n kwnn sasa?Jibu hapa ni WOGA wa chama tawala juu ya cdm kuwapokonya nafasi hiyo.Hilo linawafanya washindwe kufanya jambo tofauti l maendeleo wanabaki kutapatapa kwa hofu kwa kuizushia cdm kila aina ya skendo.2jiulize;
1.kama sheria ya wapato ipo kwa msajiri ni kwanini haijafanya kazi muda wote?vngnevyo msajiri hawajibiki na ajiuzulu
2.je,ni wapi mapato ya vyama vngne yamekuwa wazi kwa watz au wananchi
3.je,ccm ni wazi ktk mapato yake yote ikiwemo mali ya wasio ccm waliyoyang'ang'ania kwa nguvu (viwanja,magorofa,nk)?
CCM na makada wao wamepoteza mwelekeo,wamefikia mwisho wa fikra wanatapatapa!
 
Sikuwahi kusikia hayo unayoyataka Chadema afanye yamefanywa na CCM, CUF, TLP, NCCR na kadhalika!!

Unachokifanya bila kujua ni kuhitaji maboresho kwa Chadema tu, ninahisi umeshatambua mabresho kwa CCM hayawezekani tena!! Au ni rahisi kuibadilisha Chadema na kuleta ufanisi kuliko kutaka kuibadilisha CCM na kupoteza vyote, fedha na muda!!

Ukituliza akili kidogo kabla hujapost, you will see a bigger picture and you will save us time and resources.

kula like mkuu,japo natumia simu!
chedema ndio inaongoza nchi!!
 
unaushaidi na unayo ongea?au siku izi wewe ndo msajiri wa vyama vya siasa?ebu tudhibitishie juu ya izo tuhuma.
 
ngurdoto lodge semina elekezi....khaaaaahio hujaiona humy d wee kweli mwehu
 
Mkuu, hiyo imani ambayo vijana wanayo kwa CHADEMA wakati kwa uozo huu haipaswa tuisifu wala kuwa na imani na CHADEM, ila kama kweli mnakipenda chama chenu wahusika wa huu uovu wawajibishwe.
....samahani, nilikuwa naomba unijuze kuhusu uchaguzi wa Arusha maana huku kwetu hatuna taarifa.
 
Huyu hamy d nahisi sio mzima kutwa anawaza chadema leta hoja za maana sio pumba tu daily,umekuwa campaign manager wa chadema maana mi naona kama unawapa promo vile,tumia akili
 
WanaJF!

Viongozi wa CHADEMA, tofauti na vyama vingine, hawana desturi na utamaduni wa kuweka mambo wazi kuhusu vyanzo vya mapato na matumizi ya chama.

Usiri huo wa vyanzo vya mapato haufanywi tu kwa wanachama, bali pia ufanywa mpaka kwa msajili wa vyama vya siasa nchini, ambapo ni kinyume cha sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.

Kuliweka sawa hili, ningependa ukione kifungu cha sheria kinacho eleza haya;

Kifungu cha 13 kifungu kidogo cha 1 (a-e) kinaeleza namna ambazo chama kinapata mapato.

Pia katika kifungu hiki hiki cha 13 kifungu kidogo cha 2 kinasomeka ;

...Every party shall disclose to the registrar information relating to any funds or other resources obtained by the party;

a) From sources outside United Republic, whether obtained directly or through the sources within the United Republic;

b) From foreign organizations stationed within the United Republic;

c) From any person resident in the United Republic who is not the citizen of the United Republic.

Kifungu mahususi chenye kuhitaji taarifa juu ya vyanzo vya mapato ya chama cha siasa (kama nilivyo orodhesha hapo juu) ni kifungu cha 13 kifungu kidogo cha 3, kinasomeka kama ifuatavyo;

…Any official of any party or other person liable to disclose information to the Registrar on behalf of any party relating to the funds or other resources of the party who fails to disclose such information or gives false information in relation to such funds or resources obtained by a party from sources outside the United Republic , commits an offence and shall be liable on conviction to a fine equal to the amount of the value of the resources not disclosed or in relation to which false information was given or to imprisonment for a term not exceeding twelve months or to both such fine and imprisonment…

Baada ya kuangalia vifungu vya sheria vinavyo onyesha namna ambavyo chama kinapata mapato na namna ambavyo chama kinahitajika kupeleka taarifa kwa msajili wa vyama vya siasa juu ya vyanzo vyake vya mapato, ningependa tuiangalie CHADEMA inavyo tekeleza hili.

CHADEMA imekuwa na usiri uliokithiri wa kuhusu vyanzo vyake vya mapato ndio inapelekea shutuma mbalimbali kuibuliwa dhidi ya viongozi wa makao makuu wa chama hicho hasa katika matumizi mabaya ya fedha.

Baadhi ya vyanzo vya mapato ambavyo ‘msajili’ hajapewa taarifa yoyoye na CHADEMA juu ya upokeaji wa mapato hayo ambayo ni kinyume cha sheria ni vifuatavyo;

Misaada kutoka kwa wafadhili na marafiki wa chama; fedha zinazotolewa kwa namna hii, taarifa zake hazifikishwa kwa msajili, lakini pia matumizi ya pesa hizi yamejaa urasimu, ukiritimba na ubadhilifu mkubwa;

a.
Fedha za Sabodo za kuchimba visima, visima vilivyo chimbwa idadi yake ni vinne tu kutokana na fedha hizo na vyote vimechimbwa kwenye majimbo ambayo CHADEMA wameshikilia. Huu ni ubaguzi na ukiritimba wa viongozi wa CHADEMA.

View attachment 102467Mbowe akiwa ameambatana na Dr Slaa akiwa anapokea hundi ya shillingi millioni 100 kutoka kwa Sabodo, pesa ambayo ililenga kujengea visima.

b.
Fedha za wadhamini kutoka nje ya nchi, kuna tabia ya viongozi wa CHADEMA kutembeza bakuli na kuomba omba wafadhili fedha ili wafanikishie mambo kama semina elekezi kwa makamanda na matumizi mengineyo.

View attachment 102468makamanda wakiwa makini kusikiliza Semina elekezi ikiwa inafanyika kwenye hotel jijini Mbeya.

View attachment 102469Benson Kigaila ambae ni mkufunzi akiwa anatoa semina kwa makamanda jijini Mbeya.

View attachment 102470Hotel iliyopo jijini Mbeya ambayo kwa anasa za CHADEMA ndipo mahala ambapo wanafanyia semina zao.

Ila ukweli ni kwamba kwa wingu zito lililo funika upatikanaji wa fedha hizi, hakuna anae fahamu mapato ni kiasi gani yanapatikana kwa utaratibu huu wa kutembeza bakuli. Aidha, hata wafanyapo semina elekezi, gharama kubwa utumika kufanya anasa kuliko fedha kuelekezwa kuliko kusudiwa.

c. Operesheni za chama, CHADEMA imekuwa ikifanya opereshi rukuki, ila kikubwa ni usanii tu maana mantiki ya operesheni hizo ni moja tu, wameamua wawe wanatoa majina tofauti tofauti ili iwe rahisi kuwa rubuni watu ili kuweza kupata michango zaidi. Msajili wa vyama hajui kama kuna mapato makubwa yana patikana kwa utaratibu huu.

d.
Zawadi kwa chama, CHADEMA imekuwa ikipokeazawadi mbalimbali kutoka kwa wapenzi na marafiki wa chama, moja ikiwa ni eneo lenye thamani ya Tshs million 500 alilopewa bwana Mbowe kwa niaba ya chama na hayati Mawalla, ili eneo lipo Arusha na Mbowe alipewa siku nyingi tu na kutokana na siasa zake misibani alidai kuwa atajenga kituo kikubwa cha afya, ila mpaka leo eneo hilo ni chaka kubwa na kuna uwezekano limeanza kugaiwa kwa ‘’GIANTS’ wa chama.

Kwa usiri wa aina hii unao fanywa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya msajili wa vyama vya siasa kinyume cha sheria, CHADEMA bado kitakuwa na uhalali wa kuaminiwa na watanzania? CHADEMA kitakuwa na uhalali wa kuinyooshea CCM kidole? CHADEMA itakuwa na uhalali wa kuunda serikali?

Kama wewe ni mzalendo, mkweli na muwazi, haya ni baadhi tu ya maswali ambayo unapaswa kujiuliza kuhusiana na ‘umafia’ wa kimaslahi unaofanywa na viongozi wa CHADEMA tena kwa kuvunja sheria za nchi. Ni imani yangu kwamba wengi mtakuwa mmeanza kupata picha ya kwanini CHADEMA hakiaminiwi na baadhi ya watu.

Angalizo: USHABIKI WA KISIASA NI HATARI KWA MAENDELEO YA TAIFA. KUWA MAZALENDO. KEMEA MAOVU. TANZANIA ISTAWI.
Uovu mkubwa wa CCM ni Ufisadi
 
Wanyonge nawafikiria pia huku kwenye vyama naangaza, siwezi kuacha kuangaza huku kwenye vyama kisa tu Tanzania ina wanyonge. Mkuu, kuwa huru ushabiki ni hatari kwa maendeleo ya taifa.
kati ya wewe na yeye nani mfungwaaaaaa????
 
a. Fedha za Sabodo za kuchimba visima, visima vilivyo chimbwa idadi yake ni vinne tu kutokana na fedha hizo na vyote vimechimbwa kwenye majimbo ambayo CHADEMA wameshikilia. Huu ni ubaguzi na ukiritimba wa viongozi wa CHADEMA.

View attachment 102467Mbowe akiwa ameambatana na Dr Slaa akiwa anapokea hundi ya shillingi millioni 100 kutoka kwa Sabodo, pesa ambayo ililenga kujengea visima.

b. Fedha za wadhamini kutoka nje ya nchi, kuna tabia ya viongozi wa CHADEMA kutembeza bakuli na kuomba omba wafadhili fedha ili wafanikishie mambo kama semina elekezi kwa makamanda na matumizi mengineyo.

View attachment 102468makamanda wakiwa makini kusikiliza Semina elekezi ikiwa inafanyika kwenye hotel jijini Mbeya.

View attachment 102469Benson Kigaila ambae ni mkufunzi akiwa anatoa semina kwa makamanda jijini Mbeya.

View attachment 102470Hotel iliyopo jijini Mbeya ambayo kwa anasa za CHADEMA ndipo mahala ambapo wanafanyia semina zao.

Ila ukweli ni kwamba kwa wingu zito lililo funika upatikanaji wa fedha hizi, hakuna anae fahamu mapato ni kiasi gani yanapatikana kwa utaratibu huu wa kutembeza bakuli. Aidha, hata wafanyapo semina elekezi, gharama kubwa utumika kufanya anasa kuliko fedha kuelekezwa kuliko kusudiwa.

c. Operesheni za chama, CHADEMA imekuwa ikifanya opereshi rukuki, ila kikubwa ni usanii tu maana mantiki ya operesheni hizo ni moja tu, wameamua wawe wanatoa majina tofauti tofauti ili iwe rahisi kuwa rubuni watu ili kuweza kupata michango zaidi. Msajili wa vyama hajui kama kuna mapato makubwa yana patikana kwa utaratibu huu.

d. Zawadi kwa chama, CHADEMA imekuwa ikipokeazawadi mbalimbali kutoka kwa wapenzi na marafiki wa chama, moja ikiwa ni eneo lenye thamani ya Tshs million 500 alilopewa bwana Mbowe kwa niaba ya chama na hayati Mawalla, ili eneo lipo Arusha na Mbowe alipewa siku nyingi tu na kutokana na siasa zake misibani alidai kuwa atajenga kituo kikubwa cha afya, ila mpaka leo eneo hilo ni chaka kubwa na kuna uwezekano limeanza kugaiwa kwa ‘’GIANTS’ wa chama.

Kwa usiri wa aina hii unao fanywa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya msajili wa vyama vya siasa kinyume cha sheria, CHADEMA bado kitakuwa na uhalali wa kuaminiwa na watanzania? CHADEMA kitakuwa na uhalali wa kuinyooshea CCM kidole? CHADEMA itakuwa na uhalali wa kuunda serikali?

Kama wewe ni mzalendo, mkweli na muwazi, haya ni baadhi tu ya maswali ambayo unapaswa kujiuliza kuhusiana na ‘umafia’ wa kimaslahi unaofanywa na viongozi wa CHADEMA tena kwa kuvunja sheria za nchi. Ni imani yangu kwamba wengi mtakuwa mmeanza kupata picha ya kwanini CHADEMA hakiaminiwi na baadhi ya watu.

Angalizo: USHABIKI WA KISIASA NI HATARI KWA MAENDELEO YA TAIFA. KUWA MAZALENDO. KEMEA MAOVU. TANZANIA ISTAWI.

Hoja yako ingekuwa na mashiko ingetuambia kama kama ccm walishawahi kuweka wazi mapato kutoka vyanzo vyote (vya ndani na nje ya nchi) kabla hujakituhumu cdm kwa kutokufanya hivyo. Nimeweka msisitizo kwenye neno 'vyote' nikimaanisha 'vyote' ikiwa na pamoja zile zinatumika kutengeneza tshirt, kununulia kanga, chumvi, takrima n.k. za kugawia wapiga kura wakati wa chaguzi. 'Vyote' hii pia ujumuishe rasilimali zote za serikali zinazotumiwa kwa shughuli za chama, hasa wakati wa kampeni au ziara za viongozi wa ccm mikoani na wilayani. Katika 'vyote' hii pia, ni vyema ukituambia bakuli ambalo huwa linatembezwa na ccm katika mashirika ya umma na mifuko wa hifadhi ya jamii kuchangia chaguzi na shughuli mbalimbali za chama. Kwa kifupi orodha ya 'vyote' ni ndefu, ila ikijaribu kusema anglau machache ambayo ccm walishawahi kuweka wazi, tutakumbusha waliyoacha.....!!!
 
WanaJF!

Viongozi wa CHADEMA, tofauti na vyama vingine, hawana desturi na utamaduni wa kuweka mambo wazi kuhusu vyanzo vya mapato na matumizi ya chama.

Usiri huo wa vyanzo vya mapato haufanywi tu kwa wanachama, bali pia ufanywa mpaka kwa msajili wa vyama vya siasa nchini, ambapo ni kinyume cha sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.

Kuliweka sawa hili, ningependa ukione kifungu cha sheria kinacho eleza haya;

Kifungu cha 13 kifungu kidogo cha 1 (a-e) kinaeleza namna ambazo chama kinapata mapato.

Pia katika kifungu hiki hiki cha 13 kifungu kidogo cha 2 kinasomeka ;

...Every party shall disclose to the registrar information relating to any funds or other resources obtained by the party;

a) From sources outside United Republic, whether obtained directly or through the sources within the United Republic;

b) From foreign organizations stationed within the United Republic;

c) From any person resident in the United Republic who is not the citizen of the United Republic.

Kifungu mahususi chenye kuhitaji taarifa juu ya vyanzo vya mapato ya chama cha siasa (kama nilivyo orodhesha hapo juu) ni kifungu cha 13 kifungu kidogo cha 3, kinasomeka kama ifuatavyo;

…Any official of any party or other person liable to disclose information to the Registrar on behalf of any party relating to the funds or other resources of the party who fails to disclose such information or gives false information in relation to such funds or resources obtained by a party from sources outside the United Republic , commits an offence and shall be liable on conviction to a fine equal to the amount of the value of the resources not disclosed or in relation to which false information was given or to imprisonment for a term not exceeding twelve months or to both such fine and imprisonment…

Baada ya kuangalia vifungu vya sheria vinavyo onyesha namna ambavyo chama kinapata mapato na namna ambavyo chama kinahitajika kupeleka taarifa kwa msajili wa vyama vya siasa juu ya vyanzo vyake vya mapato, ningependa tuiangalie CHADEMA inavyo tekeleza hili.

CHADEMA imekuwa na usiri uliokithiri wa kuhusu vyanzo vyake vya mapato ndio inapelekea shutuma mbalimbali kuibuliwa dhidi ya viongozi wa makao makuu wa chama hicho hasa katika matumizi mabaya ya fedha.

Baadhi ya vyanzo vya mapato ambavyo ‘msajili' hajapewa taarifa yoyoye na CHADEMA juu ya upokeaji wa mapato hayo ambayo ni kinyume cha sheria ni vifuatavyo;

Misaada kutoka kwa wafadhili na marafiki wa chama; fedha zinazotolewa kwa namna hii, taarifa zake hazifikishwa kwa msajili, lakini pia matumizi ya pesa hizi yamejaa urasimu, ukiritimba na ubadhilifu mkubwa;

a.
Fedha za Sabodo za kuchimba visima, visima vilivyo chimbwa idadi yake ni vinne tu kutokana na fedha hizo na vyote vimechimbwa kwenye majimbo ambayo CHADEMA wameshikilia. Huu ni ubaguzi na ukiritimba wa viongozi wa CHADEMA.

View attachment 102467Mbowe akiwa ameambatana na Dr Slaa akiwa anapokea hundi ya shillingi millioni 100 kutoka kwa Sabodo, pesa ambayo ililenga kujengea visima.

b.
Fedha za wadhamini kutoka nje ya nchi, kuna tabia ya viongozi wa CHADEMA kutembeza bakuli na kuomba omba wafadhili fedha ili wafanikishie mambo kama semina elekezi kwa makamanda na matumizi mengineyo.

View attachment 102468makamanda wakiwa makini kusikiliza Semina elekezi ikiwa inafanyika kwenye hotel jijini Mbeya.

View attachment 102469Benson Kigaila ambae ni mkufunzi akiwa anatoa semina kwa makamanda jijini Mbeya.

View attachment 102470Hotel iliyopo jijini Mbeya ambayo kwa anasa za CHADEMA ndipo mahala ambapo wanafanyia semina zao.

Ila ukweli ni kwamba kwa wingu zito lililo funika upatikanaji wa fedha hizi, hakuna anae fahamu mapato ni kiasi gani yanapatikana kwa utaratibu huu wa kutembeza bakuli. Aidha, hata wafanyapo semina elekezi, gharama kubwa utumika kufanya anasa kuliko fedha kuelekezwa kuliko kusudiwa.

c. Operesheni za chama, CHADEMA imekuwa ikifanya opereshi rukuki, ila kikubwa ni usanii tu maana mantiki ya operesheni hizo ni moja tu, wameamua wawe wanatoa majina tofauti tofauti ili iwe rahisi kuwa rubuni watu ili kuweza kupata michango zaidi. Msajili wa vyama hajui kama kuna mapato makubwa yana patikana kwa utaratibu huu.

d.
Zawadi kwa chama, CHADEMA imekuwa ikipokeazawadi mbalimbali kutoka kwa wapenzi na marafiki wa chama, moja ikiwa ni eneo lenye thamani ya Tshs million 500 alilopewa bwana Mbowe kwa niaba ya chama na hayati Mawalla, ili eneo lipo Arusha na Mbowe alipewa siku nyingi tu na kutokana na siasa zake misibani alidai kuwa atajenga kituo kikubwa cha afya, ila mpaka leo eneo hilo ni chaka kubwa na kuna uwezekano limeanza kugaiwa kwa ''GIANTS' wa chama.

Kwa usiri wa aina hii unao fanywa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya msajili wa vyama vya siasa kinyume cha sheria, CHADEMA bado kitakuwa na uhalali wa kuaminiwa na watanzania? CHADEMA kitakuwa na uhalali wa kuinyooshea CCM kidole? CHADEMA itakuwa na uhalali wa kuunda serikali?

Kama wewe ni mzalendo, mkweli na muwazi, haya ni baadhi tu ya maswali ambayo unapaswa kujiuliza kuhusiana na ‘umafia' wa kimaslahi unaofanywa na viongozi wa CHADEMA tena kwa kuvunja sheria za nchi. Ni imani yangu kwamba wengi mtakuwa mmeanza kupata picha ya kwanini CHADEMA hakiaminiwi na baadhi ya watu.

Angalizo: USHABIKI WA KISIASA NI HATARI KWA MAENDELEO YA TAIFA. KUWA MAZALENDO. KEMEA MAOVU. TANZANIA ISTAWI.
niseme tu ukweli kijana unajitahidi sana kuitafutia CHADEMA makosa walau tu uwe umeingiza siku, sababu toka umejiunga hapa na nimefuatilia post zako karibu zooote hakuna post ulio ipost pasipo kuitaja CHADEMA yaani mara leo hiki mara leo kile,yaani unadhihirisha upo humu special kwa kazi hiyo na unapokea ujira kwa kazi hiyo na ndiyo inayo kuweka mjini,
duuu!!! ndugu hebu jaribu kusoma alama za nyakati na utambue ni watu wa aina gani unao hangaika nao hapa jamvini nafikiri ukisha litambua hilo sidhani kama utaendelea kuichosha akili yako kuhangaika na CHADEMA humu, kifupi unahangaika kuvua samaki ambao tayari wamesha wekwa kwenye tenga ingawa kwa akili yako unaona bado hao samaki hawajavuliwa na unakazana kutupa ndoano.
asilimia kubwa ya watu wanao tumia mitandao ni watu wanao jitambua hawaendeshwi kifikra kama gari bovu na ndio maana post zako zooote wanao kuunga mkono ni watu wa sampuli yako lakini bado hujaliona hilo.
 
WanaJF!

Viongozi wa CHADEMA, tofauti na vyama vingine, hawana desturi na utamaduni wa kuweka mambo wazi kuhusu vyanzo vya mapato na matumizi ya chama.

Usiri huo wa vyanzo vya mapato haufanywi tu kwa wanachama, bali pia ufanywa mpaka kwa msajili wa vyama vya siasa nchini, ambapo ni kinyume cha sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.

Kuliweka sawa hili, ningependa ukione kifungu cha sheria kinacho eleza haya;

Kifungu cha 13 kifungu kidogo cha 1 (a-e) kinaeleza namna ambazo chama kinapata mapato.

Pia katika kifungu hiki hiki cha 13 kifungu kidogo cha 2 kinasomeka ;

...Every party shall disclose to the registrar information relating to any funds or other resources obtained by the party;

a) From sources outside United Republic, whether obtained directly or through the sources within the United Republic;

b) From foreign organizations stationed within the United Republic;

c) From any person resident in the United Republic who is not the citizen of the United Republic.

Kifungu mahususi chenye kuhitaji taarifa juu ya vyanzo vya mapato ya chama cha siasa (kama nilivyo orodhesha hapo juu) ni kifungu cha 13 kifungu kidogo cha 3, kinasomeka kama ifuatavyo;

…Any official of any party or other person liable to disclose information to the Registrar on behalf of any party relating to the funds or other resources of the party who fails to disclose such information or gives false information in relation to such funds or resources obtained by a party from sources outside the United Republic , commits an offence and shall be liable on conviction to a fine equal to the amount of the value of the resources not disclosed or in relation to which false information was given or to imprisonment for a term not exceeding twelve months or to both such fine and imprisonment…

Baada ya kuangalia vifungu vya sheria vinavyo onyesha namna ambavyo chama kinapata mapato na namna ambavyo chama kinahitajika kupeleka taarifa kwa msajili wa vyama vya siasa juu ya vyanzo vyake vya mapato, ningependa tuiangalie CHADEMA inavyo tekeleza hili.

CHADEMA imekuwa na usiri uliokithiri wa kuhusu vyanzo vyake vya mapato ndio inapelekea shutuma mbalimbali kuibuliwa dhidi ya viongozi wa makao makuu wa chama hicho hasa katika matumizi mabaya ya fedha.

Baadhi ya vyanzo vya mapato ambavyo ‘msajili’ hajapewa taarifa yoyoye na CHADEMA juu ya upokeaji wa mapato hayo ambayo ni kinyume cha sheria ni vifuatavyo;

Misaada kutoka kwa wafadhili na marafiki wa chama; fedha zinazotolewa kwa namna hii, taarifa zake hazifikishwa kwa msajili, lakini pia matumizi ya pesa hizi yamejaa urasimu, ukiritimba na ubadhilifu mkubwa;

a.
Fedha za Sabodo za kuchimba visima, visima vilivyo chimbwa idadi yake ni vinne tu kutokana na fedha hizo na vyote vimechimbwa kwenye majimbo ambayo CHADEMA wameshikilia. Huu ni ubaguzi na ukiritimba wa viongozi wa CHADEMA.

View attachment 102467Mbowe akiwa ameambatana na Dr Slaa akiwa anapokea hundi ya shillingi millioni 100 kutoka kwa Sabodo, pesa ambayo ililenga kujengea visima.

b.
Fedha za wadhamini kutoka nje ya nchi, kuna tabia ya viongozi wa CHADEMA kutembeza bakuli na kuomba omba wafadhili fedha ili wafanikishie mambo kama semina elekezi kwa makamanda na matumizi mengineyo.

View attachment 102468makamanda wakiwa makini kusikiliza Semina elekezi ikiwa inafanyika kwenye hotel jijini Mbeya.

View attachment 102469Benson Kigaila ambae ni mkufunzi akiwa anatoa semina kwa makamanda jijini Mbeya.

View attachment 102470Hotel iliyopo jijini Mbeya ambayo kwa anasa za CHADEMA ndipo mahala ambapo wanafanyia semina zao.

Ila ukweli ni kwamba kwa wingu zito lililo funika upatikanaji wa fedha hizi, hakuna anae fahamu mapato ni kiasi gani yanapatikana kwa utaratibu huu wa kutembeza bakuli. Aidha, hata wafanyapo semina elekezi, gharama kubwa utumika kufanya anasa kuliko fedha kuelekezwa kuliko kusudiwa.

c. Operesheni za chama, CHADEMA imekuwa ikifanya opereshi rukuki, ila kikubwa ni usanii tu maana mantiki ya operesheni hizo ni moja tu, wameamua wawe wanatoa majina tofauti tofauti ili iwe rahisi kuwa rubuni watu ili kuweza kupata michango zaidi. Msajili wa vyama hajui kama kuna mapato makubwa yana patikana kwa utaratibu huu.

d.
Zawadi kwa chama, CHADEMA imekuwa ikipokeazawadi mbalimbali kutoka kwa wapenzi na marafiki wa chama, moja ikiwa ni eneo lenye thamani ya Tshs million 500 alilopewa bwana Mbowe kwa niaba ya chama na hayati Mawalla, ili eneo lipo Arusha na Mbowe alipewa siku nyingi tu na kutokana na siasa zake misibani alidai kuwa atajenga kituo kikubwa cha afya, ila mpaka leo eneo hilo ni chaka kubwa na kuna uwezekano limeanza kugaiwa kwa ‘’GIANTS’ wa chama.

Kwa usiri wa aina hii unao fanywa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya msajili wa vyama vya siasa kinyume cha sheria, CHADEMA bado kitakuwa na uhalali wa kuaminiwa na watanzania? CHADEMA kitakuwa na uhalali wa kuinyooshea CCM kidole? CHADEMA itakuwa na uhalali wa kuunda serikali?

Kama wewe ni mzalendo, mkweli na muwazi, haya ni baadhi tu ya maswali ambayo unapaswa kujiuliza kuhusiana na ‘umafia’ wa kimaslahi unaofanywa na viongozi wa CHADEMA tena kwa kuvunja sheria za nchi. Ni imani yangu kwamba wengi mtakuwa mmeanza kupata picha ya kwanini CHADEMA hakiaminiwi na baadhi ya watu.

Angalizo: USHABIKI WA KISIASA NI HATARI KWA MAENDELEO YA TAIFA. KUWA MAZALENDO. KEMEA MAOVU. TANZANIA ISTAWI.

akili ndogo inahangaika na umbea. Miaka 50 ccm imefanya nini? ufisadi mpk ikulu. TRA wanakusanya tilions of Money bado ccm wanasema kasungura kadogo. hangaika na ccm inayokusanya mahela mengi ya umma zinaishia mikononi mwa wachache Mafisadi
 
unaushaidi na unayo ongea?au siku izi wewe ndo msajiri wa vyama vya siasa?ebu tudhibitishie juu ya izo tuhuma.
Mtafute Dr Walid Amani Kabourou au Chacha Wangwe siku utakapotoka duniani
 
HAMY-D

Pamoja na kushuka kwa kipato cha ruzuku cha CCM toka TSh. billioni 1.2 kwa mwezi kabla ya uchaguzi wa mwaka 2010 hadi TShs. 800 milioni kwa mwezi kutokana na kupungua idadi ya kura kwa rais, na kupungua idadi ya wabunge wa kuchaguliwa, CCM ndicho chama chenye kipato kikubwa hapa nchini. Wana miradi mingine mingi na wanapokea pia fedha kutoka kwa wahisani. CUF pia wanapokea ruzuku ya Sh. zaidi ya milioni 100 kwa mwezi na mapato mengine pia. Bila shaka vyama vyote vina vyanzo fulani vya mapato.

Mtoa mada hujaeleza iwapo jukumu hili la kuweka wazi vyanzo vya mapato kuwa ni jukumu la vyama vyote. Hukueleza jinsi gani vyama vingine vinatekeleza jukumu hilo vizuri, na pengine kwa kutuwekea wazi kile ambacho kimewekwa wazi na vyama vingine, na hivyo kufikia hatua ya kuhukumu chama ambacho hakitekelezi.

Sijui ulisahau kufanya hivyo, au unataka kutuambia kuwa jukumu hilo ni la chama kimoja tu? Kama ni jukumu la vyama vyote, tueleze kwa nini umeleta mada kwa jinsi ulivyoileta.

Umekusudia kufanikisha lengo gani kwa kuamua kubagua uwajibishaji wa vyama siasa kufuata sheria hiyo?

Pia vifungu ulivyonukuu vinaonesha kuwa vyama vinawajibika kuweka wazi vyanzo hivyo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, na si kuweka wazi kwa watu wote. Je, msajili wa vyama vya siasa alishaeleza kukosa uwazi kwa chama chochote kile kuhusu vyanzo vya mapato? Tunaomba umnukuu alieleza hayo lini na wapi? Kama msajili amenyamaza umejuaje hayo unayoyasema mpaka unakuja na hukumu ya 'uovu mkubwa'?
 
Nimekuwa nikifuatilia sana maada anazoanzisha huyu hammy d, nimegundua kuwa huwa anaandaliwa maada za kuweka humu, ndio maana nyingi kama si zote ni ugoro na si hivo hata kutetea hoja zake huwa hawezi na hii ndio inanipa taabu sana kuelewa maada zake!!
 
Back
Top Bottom