Uongozi wa wa UDSM wawafutiwa mashitaka wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wa wa UDSM wawafutiwa mashitaka wanafunzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuandamane, May 8, 2008.

 1. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Leo Uongozi wa UDSM umewautiwa mashitaka wanafunzi 38 walioshitakiwa kwa tuhuma za kufanya fujo chuoni
   
 2. e

  eddy JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2008
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 9,373
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Jamani watanzania tugomee kupeleka watoto wetu UDSM, hatulipi ada watoto wakawe mahabusu! kunasiku watapigwa risasi tukitizama tu!
   
 3. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Kinachotakiwa ni kupiga kelele mpaka hawa viongozi wazembe waachie ngazi na tupate viongozi wapya wenye kujua wajibu wao
   
 4. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mukandala amegundua kuwa udikiteta na ufisadi wake ulikuwa unampeleka kubaya na amerudi kwenye sense zake.
   
 5. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Yuko kwenye huo uongozi kwa muda gani sasa?
   
 6. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Alipewa ulaji na Kikwete baada ya kufanya kazi nzuri sana kwenye kampeni ya mwaka 2005 kwa data zake za kupika za Redet.
   
 7. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hatimaye Mukandala amechemsha na viongozi wake aliwaweka ili waongoze Daruso. Wanafunzi wamewapiga chini na sasa inabidi uchaguzi mpya ufanyike. Huyu baba ameanza vibaya na sasa anaaibika.

  Nimeipata habari hii ya the citizens toka kwa mtiifu na mwenzetu Mwanakijiji wa KLHNEWS.


  Kwa habari zaidi, fuatilia mambo mapya na ya haraka toka kwenye mtandao bora kabisa wa habari za Tanzania wa KLH NEWS kwa kubonyeza hapa
   
 8. m

  murra wa marwa Senior Member

  #8
  May 20, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  shuzi rimepata mjambaji hapa!
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mimi nauliza kama kuna sababu zimetolewa kw akufutiwa mashitaka .Je Chuo kitawalipa mateso yao na kuwaharibia majina ?
   
 10. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,283
  Trophy Points: 280
  Now its clear kuwa Prof. Mukandala alimuandaa mtu wake na AMESHINDWA
   
 11. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  hivi mukandala na wenzake hawana kazi za kufanya siku hizi, mpaka wakaingilie uchaguzi wa daruso? kule redet wameshamfukuza au amejifukuzisha? ni vema kuwe na utaratibu fulani wa mtu kuwa vice-choncellor, labda huu utaratibu wa kishkaji siku moja utasikia rais amempa mkewe digree ya heshima na hapo hapo akamchagua kuwa vice -choncellor, yetu machoo, ohooo
   
 12. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi kwi

  Mkuu Mwikimbi,

  Huku ndiko tunakoelekea kabisa hasa ukichukulia watu waliokuwa wakidhaniwa kuwa makini kama Mukandala wakigeuka na kuwa wabovu na wababaishaji kiasi hiki.
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Uongozi wa Tanzania ni family business.
  Naamini ukiwa rafiki na mheshimiwa fulani basi unaweza kupata ulaji usio halali kwako.
   
Loading...