Katika maendeleo ya Elimu ya Juu Tanzania tunajivunia vyuo vyetu venye mchango katika Taifa! Udsm , SUA , Mzumbe , UDOM , SJUT , SAUT nk.Chuo cha kata
ila una uhakika hao waliofanikiwa hawajachapisha katika international journal?Hili ndio jibu PhD lazima upublishi si chini ya publication mbili ili zipitiwe na wataalamu wengine kwenye Internation Journals. Hapa kwetu wanabebana tu ndio maana hata Prof. M. Mwandosya pia alihoji hili jambo
Una uhakika na hicho ulichoandika? Alienda lini huko Makerere wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani akihangaika na sakata la Lugumya ndani ya jeshi la polisi?Udom ni chuo cha kisiasa.
Hata wakiwapa PhD wabunge wote ni sawa tu.
Mi naiheshimu PhD ya Mwigullu Nchemba kutoka Makerere tu hao wengine tupa kule!