elivina shambuni
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 461
- 295
Habari za muda huu wana jamii forums, nimeona niweke sababu kuu za kuzorota kwa upinzani hapa nchini kwetu ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kudorora kwa upinzani nchini. Kihistoria upinzani umekua ukionekana kuimarika hapa nchini, tatizo kubwa ni haraka na pupa ambazo walikua nazo na ambazo bado wanazo viongozi wa vyama vya upinzani.
Mwaka 1995 chama cha NCCR-Mageuzi kilimpokea aliyekuwa waziri wa ajira na vijana Mhe. Augustino Mrema, ulikua mwaka wa uchaguzi na kwa habari na maandiko mbalimbali, inasemekana Baba wa Taifa ilimlazimu apige kampeni ya nguvu ili kuwezesha CCM kushinda, wapinzani walipata wabunge kadhaa wa kuweza kueleza agenda zao kwa nchi. ila kilichotokea ni migogoro isiyokwisha iliyopelekea kuanza kufukuzana kwa viongozi iliyopelekea chama kupoteza mvuto kwa wananchi.
Mwaka 2015, ikiwa yapata miaka 20 tokea vuguvugu la Mrema, wapinzani bado hawakujifunza, walimkaribisha Waziri mkuu mstaafu Mh Lowasa katika nyumba yao, yanayoendelea tunayaona. Waziri Mkuu mstaafu karudi nyumbani baada ya kuona aina ya siasa aliyofuata imekaa kiharakati na uzushi. Wapinzani bado wanafukuzana kila kukicha na kuitana wasaliti, haya yote yanasababisha upinzani upoteze mvuto kwa wananchi.
SERIKALI YA RAISI MAGUFULI IMEJIKITA KUMALIZA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WA TANZANIA, WAPINZANI WAMEISHIWA HOJA, SASA WAMEBAKI KUICHAFUA NCHI KUPITIA NGO'S ZA NJE AMBAZO ZIMEBANWA KISHERIA KUFANYA KAZI ZAO AMBAZO HAZINA MANUFAA KWA NCHI..SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEJIKITA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU NA UPATIKANAJI WA UMEME WA UHAKIKA. WATANZANIA WANAYAONA HAYA YOTE, WAKATI WAO WANASHUSHA TANGA NA KUPANDISHA TANGA, SERIKALI YA CCM INAYOONGOZWA NA RAISI MAGUFULI INAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA. SAIV WATANZANIA TUNATEMBEA KIFUA MBELE BILA HOFU..
VIVA CCM, VIVA MAGUFULI........2020 USHINDI LAZIMA