Uongozi thabiti wa Rais Magufuli wapoteza wapinzani

elivina shambuni

JF-Expert Member
May 31, 2018
461
295
Habari za muda huu wana jamii forums, nimeona niweke sababu kuu za kuzorota kwa upinzani hapa nchini kwetu ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kudorora kwa upinzani nchini. Kihistoria upinzani umekua ukionekana kuimarika hapa nchini, tatizo kubwa ni haraka na pupa ambazo walikua nazo na ambazo bado wanazo viongozi wa vyama vya upinzani.

Mwaka 1995 chama cha NCCR-Mageuzi kilimpokea aliyekuwa waziri wa ajira na vijana Mhe. Augustino Mrema, ulikua mwaka wa uchaguzi na kwa habari na maandiko mbalimbali, inasemekana Baba wa Taifa ilimlazimu apige kampeni ya nguvu ili kuwezesha CCM kushinda, wapinzani walipata wabunge kadhaa wa kuweza kueleza agenda zao kwa nchi. ila kilichotokea ni migogoro isiyokwisha iliyopelekea kuanza kufukuzana kwa viongozi iliyopelekea chama kupoteza mvuto kwa wananchi.

Mwaka 2015, ikiwa yapata miaka 20 tokea vuguvugu la Mrema, wapinzani bado hawakujifunza, walimkaribisha Waziri mkuu mstaafu Mh Lowasa katika nyumba yao, yanayoendelea tunayaona. Waziri Mkuu mstaafu karudi nyumbani baada ya kuona aina ya siasa aliyofuata imekaa kiharakati na uzushi. Wapinzani bado wanafukuzana kila kukicha na kuitana wasaliti, haya yote yanasababisha upinzani upoteze mvuto kwa wananchi.

SERIKALI YA RAISI MAGUFULI IMEJIKITA KUMALIZA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WA TANZANIA, WAPINZANI WAMEISHIWA HOJA, SASA WAMEBAKI KUICHAFUA NCHI KUPITIA NGO'S ZA NJE AMBAZO ZIMEBANWA KISHERIA KUFANYA KAZI ZAO AMBAZO HAZINA MANUFAA KWA NCHI..SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEJIKITA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU NA UPATIKANAJI WA UMEME WA UHAKIKA. WATANZANIA WANAYAONA HAYA YOTE, WAKATI WAO WANASHUSHA TANGA NA KUPANDISHA TANGA, SERIKALI YA CCM INAYOONGOZWA NA RAISI MAGUFULI INAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA. SAIV WATANZANIA TUNATEMBEA KIFUA MBELE BILA HOFU..
VIVA CCM, VIVA MAGUFULI........2020 USHINDI LAZIMA
 
Hivi watu hamjachoka kumsifia tu huyu mungu mtu..unajua hata Mungu mwenyewe huko kwenye kiti cha enzi hapendi binadamu kutaka kusifiwa na kuabudiwa kama Mungu..
 
Mzee Mkapa alipokuwa rais alipenda kunukuu wimbo mmoja wa zilizopendwa ukisema: we mtoto wacha kupiga mayowe; waache watu waone wenyewe.
 
Huenda ukawa maana CCM au msaka tonge,ila ukweli unajua kuwa hali sio nzuri mtaani,na ndo maana kila mmoja analia,vyama vya upinzani hasa CHADEMA bado kina ushawishi kwa wananchi,kama mnalipinga hili hebu ruhusu mikutano ya siasa muone,pia leteni tume huru ya uchaguzi muone,poleni sana CCM.
Huyu Mzee sio kwamba anakubalika kwa wote.jamani rejea twaweza research ndo mje na mawazo yenu ya hovyo.
 
Habari za muda huu wana jamii forums, nimeona niweke sababu kuu za kuzorota kwa upinzani hapa nchini kwetu ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kudorora kwa upinzani nchini. Kihistoria upinzani umekua ukionekana kuimarika hapa nchini, tatizo kubwa ni haraka na pupa ambazo walikua nazo na ambazo bado wanazo viongozi wa vyama vya upinzani.
Mwaka 1995 chama cha NCCR-Mageuzi kilimpokea aliyekuwa waziri wa ajira na vijana Mhe. Augustino Mrema, ulikua mwaka wa uchaguzi na kwa habari na maandiko mbalimbali, inasemekana Baba wa Taifa ilimlazimu apige kampeni ya nguvu ili kuwezesha CCM kushinda, wapinzani walipata wabunge kadhaa wa kuweza kueleza agenda zao kwa nchi. ila kilichotokea ni migogoro isiyokwisha iliyopelekea kuanza kufukuzana kwa viongozi iliyopelekea chama kupoteza mvuto kwa wananchi.
Mwaka 2015, ikiwa yapata miaka 20 tokea vuguvugu la Mrema, wapinzani bado hawakujifunza, walimkaribisha Waziri mkuu mstaafu Mh Lowasa katika nyumba yao, yanayoendelea tunayaona. Waziri Mkuu mstaafu karudi nyumbani baada ya kuona aina ya siasa aliyofuata imekaa kiharakati na uzushi. Wapinzani bado wanafukuzana kila kukicha na kuitana wasaliti, haya yote yanasababisha upinzani upoteze mvuto kwa wananchi.
SERIKALI YA RAISI MAGUFULI IMEJIKITA KUMALIZA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WA TANZANIA, WAPINZANI WAMEISHIWA HOJA, SASA WAMEBAKI KUICHAFUA NCHI KUPITIA NGO'S ZA NJE AMBAZO ZIMEBANWA KISHERIA KUFANYA KAZI ZAO AMBAZO HAZINA MANUFAA KWA NCHI..SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEJIKITA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU NA UPATIKANAJI WA UMEME WA UHAKIKA. WATANZANIA WANAYAONA HAYA YOTE, WAKATI WAO WANASHUSHA TANGA NA KUPANDISHA TANGA, SERIKALI YA CCM INAYOONGOZWA NA RAISI MAGUFULI INAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA. SAIV WATANZANIA TUNATEMBEA KIFUA MBELE BILA HOFU..
VIVA CCM, VIVA MAGUFULI........2020 USHINDI LAZIMA
....huyo bila mapolisi na wajeda ni mwepesi kama ile karatasi ya kunanihilia!
 
Endeleeni kukaza buti kumsujudia huyo mungu wenu iko siku ataona juhudi zenu humu jf.

Siku hizi mnaanzisha thread tu hata ambazo hazina jipya la maana zaidi ya porojo na udaku.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hujui unachokisema...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizi habari usiku siyo muda wake. Tupeni habari laini huu ni muda wa kulala.

Leteni habari kuhusu kilimo cha uyoga na faida zake, habari kuhusu duka la vipuri vya baiskeli ili ukisoma usingizi uje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mleta hoja jifunze kujenga hoja thibiti! Najua uyahangaika na msamiati huu mpya kwako! Uongozi dhabiti na bora ni ule tu, unaojenga misingi ya uchumi bora na wa kudumu na siyo wa kukijenga chama eti, kiendelee kutawala na kuviua vingine!
Kuna tija gani katika kuviua vyama kinzani? Kwa kufanya hivyo ni uchumi upi umekua? Hakuna tija wala haja na zaidi angahanhaika hata kuwaimarisha machinga ili akusanye kodi na au aikazanie sekta binafsi wajenge viwanda ili wamsaidie kuajiri vijana na kukusanya kodi! Na kinyume chake kashindwa kabisa kwa yote! Basi, angekazania kuzijenga huduma za kijamii kama afya, maji na elimu ili ziwe za kiwango cha juu na ubora unaostahili! Nalo limemshinda! Bora ungemshauri aruhusu natural justice iapply kwa kuwapisha wanaoweza waongoze vita vya kiuchumi kuliko sifa zako hizi za matopeni empire!
 
Habari za muda huu wana jamii forums, nimeona niweke sababu kuu za kuzorota kwa upinzani hapa nchini kwetu ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kudorora kwa upinzani nchini. Kihistoria upinzani umekua ukionekana kuimarika hapa nchini, tatizo kubwa ni haraka na pupa ambazo walikua nazo na ambazo bado wanazo viongozi wa vyama vya upinzani.
Mwaka 1995 chama cha NCCR-Mageuzi kilimpokea aliyekuwa waziri wa ajira na vijana Mhe. Augustino Mrema, ulikua mwaka wa uchaguzi na kwa habari na maandiko mbalimbali, inasemekana Baba wa Taifa ilimlazimu apige kampeni ya nguvu ili kuwezesha CCM kushinda, wapinzani walipata wabunge kadhaa wa kuweza kueleza agenda zao kwa nchi. ila kilichotokea ni migogoro isiyokwisha iliyopelekea kuanza kufukuzana kwa viongozi iliyopelekea chama kupoteza mvuto kwa wananchi.
Mwaka 2015, ikiwa yapata miaka 20 tokea vuguvugu la Mrema, wapinzani bado hawakujifunza, walimkaribisha Waziri mkuu mstaafu Mh Lowasa katika nyumba yao, yanayoendelea tunayaona. Waziri Mkuu mstaafu karudi nyumbani baada ya kuona aina ya siasa aliyofuata imekaa kiharakati na uzushi. Wapinzani bado wanafukuzana kila kukicha na kuitana wasaliti, haya yote yanasababisha upinzani upoteze mvuto kwa wananchi.
SERIKALI YA RAISI MAGUFULI IMEJIKITA KUMALIZA KERO ZINAZOWAKABILI WANANCHI WA TANZANIA, WAPINZANI WAMEISHIWA HOJA, SASA WAMEBAKI KUICHAFUA NCHI KUPITIA NGO'S ZA NJE AMBAZO ZIMEBANWA KISHERIA KUFANYA KAZI ZAO AMBAZO HAZINA MANUFAA KWA NCHI..SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEJIKITA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU NA UPATIKANAJI WA UMEME WA UHAKIKA. WATANZANIA WANAYAONA HAYA YOTE, WAKATI WAO WANASHUSHA TANGA NA KUPANDISHA TANGA, SERIKALI YA CCM INAYOONGOZWA NA RAISI MAGUFULI INAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA. SAIV WATANZANIA TUNATEMBEA KIFUA MBELE BILA HOFU..
VIVA CCM, VIVA MAGUFULI........2020 USHINDI LAZIMA
Jitahidi ukimbilie buku 7 yako pale Lumumba kabla hawajafunga
 
We jamaa umeandika kama mwehu.
Kinachodhoofisha upinzani ni mabavu ya vyombo vya dola.
 
Dog shit..."Wangepotezwa" kweli kama unavosema ungehangaika kuwajadili hapa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Awamu bora kabisa dhidi ya upinzani wa mashaka matokeo yake ndio haya.
 
nchi ya wapiga madili ilifika mahali fulani watu uoga ukawaishia hadi kutumia jina la first lady kutapeli watu e.g (kopa haraka kutoka salma vicoba/foundation) na uchafu kama huo..kwahiyo lazima watu walalamike na katika wanaolalamika hata kenge wamo,kama vyama vya upinzani ambavyo vinataka kuchukua dola wakati toka mwaka 1992 bado hata ofisi wanapanga.
 
Back
Top Bottom