Uongozi Simba watueleze ile michango ya nani zaidi iko wapi?

change formula

JF-Expert Member
Sep 8, 2020
694
1,463
Baada ya mechi ya ligi msimu uliopita ya Simba na yanga iliyofanyika uwanja wa taifa na CEO wa Simba kuzuiwa kuingia uwanjani, viongozi wa Simba, wanachama na mashabiki walikuja juu na kuamua kuanzisha michango yao ili kujenga uwanja wao wa mpira,watu wengi walijitokeza kuchangia pesa ila baada ya muda zoezi ilo lilisitishwa kimya kimya bila majibu yeyote, wala mrejesho wowote kwa mashabiki, ila kwakuwa mashabiki wa Simba hawapendi migogoro na viongozi wao waliamua kukaa kimya uku wakiugulia maumivu ya kutapeliwa pesa zao.

Kama haitoshi CEO wao tena akaja na mchezo mwingine wa kuchukua fedha za mashabiki wa club hio! Mara hii akaja na mawazo na kuwashirikisha watani zao yanga SC,kwenye shindano la kuchangia club zao ambalo lilijulikana kama nani zaidi? uku akisema fedha zitakazo patikana zitaenda kwenye ujenzi moja kwa moja!mashabiki wakahoji fedha tulizochangisha mara ya kwanza ziko wapi na ni kiasi gani? Akaja na majibu kuwa ni millioni sitini,TSH ml60 bila kusema ziko wapi? Kama kawaida mashabiki hawakuridhika na maelezo ya CEO wao ila kwakuwa wanapenda maendeleo ya timu yao wakachangia kwa kiasi kikubwa, ili kuwatia moyo CEO akawachukua vijana aliowaita wakandarasi wakavaa vi nguo vinavyotumiwa na wajenzi akaitisha press akaenda bunju kuonyesha kuwa wako site,ili kuwapumbaza wanasimba wazidi kuchangia.

japo baadae watani zao yanga walijitoa kwenye shindano ila Simba waliendelea kuchanga, mara zoezi likasitishwa gafla bila maelezo yeyote!! Na mpaka leo hakuna chochote kinachoendelea uko bunju kwenye uwanja wao,wala hakuna taarifa yeyote pesa ziko wapi?kama zipo benki, benki gani na kwa makubaliano yapi?

Ninachokiona mimi hapo Simba kuna usanii mkubwa unaendelea!maana haiwezekani watu wanachangisha michango hawatoi taarifa yeyote kuhusu michango imefika kiasi gani?na gafra tu wanakuja tena na sound za kukusanya michango mingine bila kuonyesha michango ya nyuma ilifanya nini? CEO wa Simba inaonekana ana taka kufanya mambo mengi peke yake kwa wakati mmoja bila kujali nguvu aliyonayo.

Mashabiki wa Simba muamke haiwezekani pesa zichangwe bila kuonyesha matumizi yake! Huo ni wizi, CEO wa Simba na viongozi wa bodi ya wakurugenzi, acheni janja janja za kuwaibia mashabiki zenu uku mnashindwa kuwaletea furaha! Mmeigeuza Simba SC kama pombe ya ngomani ambayo yanga wanajichotea tu! mmegeuza washabiki zenu kama wajinga wasiojielewa,siku wakiamka watawatafuna kama lilivyo jina la timu yao.
 
Tulia weweeeeeee, pangilia maelezo vizuri, usitupange kirahirahisi hivyo, utopolo unayejifanya mwanasimba
Kinachotakiwa ni majibu pesa ziko wapi?au watueleze uwanja unaanza kuzungushiwa uzio lini? Haiwezekani timu kufanyia mazoezi hadharani! Uwanja sio soko.
 
Baada ya mechi ya ligi msimu uliopita ya Simba na yanga iliyofanyika uwanja wa taifa na CEO wa Simba kuzuiwa kuingia uwanjani, viongozi wa Simba, wanachama na mashabiki walikuja juu na kuamua kuanzisha michango yao ili kujenga uwanja wao wa mpira,watu wengi walijitokeza kuchangia pesa ila baada ya muda zoezi ilo lilisitishwa kimya kimya bila majibu yeyote, wala mrejesho wowote kwa mashabiki, ila kwakuwa mashabiki wa Simba hawapendi migogoro na viongozi wao waliamua kukaa kimya uku wakiugulia maumivu ya kutapeliwa pesa zao.

Kama haitoshi CEO wao tena akaja na mchezo mwingine wa kuchukua fedha za mashabiki wa club hio! Mara hii akaja na mawazo na kuwashirikisha watani zao yanga SC,kwenye shindano la kuchangia club zao ambalo lilijulikana kama nani zaidi? uku akisema fedha zitakazo patikana zitaenda kwenye ujenzi moja kwa moja!mashabiki wakahoji fedha tulizochangisha mara ya kwanza ziko wapi na ni kiasi gani? Akaja na majibu kuwa ni millioni sitini,TSH ml60 bila kusema ziko wapi? Kama kawaida mashabiki hawakuridhika na maelezo ya CEO wao ila kwakuwa wanapenda maendeleo ya timu yao wakachangia kwa kiasi kikubwa, ili kuwatia moyo CEO akawachukua vijana aliowaita wakandarasi wakavaa vi nguo vinavyotumiwa na wajenzi akaitisha press akaenda bunju kuonyesha kuwa wako site,ili kuwapumbaza wanasimba wazidi kuchangia.

japo baadae watani zao yanga walijitoa kwenye shindano ila Simba waliendelea kuchanga, mara zoezi likasitishwa gafla bila maelezo yeyote!! Na mpaka leo hakuna chochote kinachoendelea uko bunju kwenye uwanja wao,wala hakuna taarifa yeyote pesa ziko wapi?kama zipo benki, benki gani na kwa makubaliano yapi?

Ninachokiona mimi hapo Simba kuna usanii mkubwa unaendelea!maana haiwezekani watu wanachangisha michango hawatoi taarifa yeyote kuhusu michango imefika kiasi gani?na gafra tu wanakuja tena na sound za kukusanya michango mingine bila kuonyesha michango ya nyuma ilifanya nini? CEO wa Simba inaonekana ana taka kufanya mambo mengi peke yake kwa wakati mmoja bila kujali nguvu aliyonayo.

Mashabiki wa Simba muamke haiwezekani pesa zichangwe bila kuonyesha matumizi yake! Huo ni wizi, CEO wa Simba na viongozi wa bodi ya wakurugenzi, acheni janja janja za kuwaibia mashabiki zenu uku mnashindwa kuwaletea furaha! Mmeigeuza Simba SC kama pombe ya ngomani ambayo yanga wanajichotea tu! mmegeuza washabiki zenu kama wajinga wasiojielewa,siku wakiamka watawatafuna kama lilivyo jina la timu yao.
na nyie mlijua mtajenga uwanja kwa kuchangishana? Pesa tumenunua mzungu naomba mtulie!
 
Imetumika kumsajili Moses!
Kama ni hivyo wawaeleze wanachama na mashabiki!kama zimetumika kumsajili uyo Moses sio dhambi waje na maelezo,vinginevyo wanasimba watashindwa kuwaamini wakati mwingine watakapoitaji michango.
 
Ziltumika kwenye kuvunja mikataba ya washambuliaji wetu wa zamani Mugalu, Kagere, na kiungo wetu mkabaji Lwanga.
 
Baada ya mechi ya ligi msimu uliopita ya Simba na yanga iliyofanyika uwanja wa taifa na CEO wa Simba kuzuiwa kuingia uwanjani, viongozi wa Simba, wanachama na mashabiki walikuja juu na kuamua kuanzisha michango yao ili kujenga uwanja wao wa mpira,watu wengi walijitokeza kuchangia pesa ila baada ya muda zoezi ilo lilisitishwa kimya kimya bila majibu yeyote, wala mrejesho wowote kwa mashabiki, ila kwakuwa mashabiki wa Simba hawapendi migogoro na viongozi wao waliamua kukaa kimya uku wakiugulia maumivu ya kutapeliwa pesa zao.

Kama haitoshi CEO wao tena akaja na mchezo mwingine wa kuchukua fedha za mashabiki wa club hio! Mara hii akaja na mawazo na kuwashirikisha watani zao yanga SC,kwenye shindano la kuchangia club zao ambalo lilijulikana kama nani zaidi? uku akisema fedha zitakazo patikana zitaenda kwenye ujenzi moja kwa moja!mashabiki wakahoji fedha tulizochangisha mara ya kwanza ziko wapi na ni kiasi gani? Akaja na majibu kuwa ni millioni sitini,TSH ml60 bila kusema ziko wapi? Kama kawaida mashabiki hawakuridhika na maelezo ya CEO wao ila kwakuwa wanapenda maendeleo ya timu yao wakachangia kwa kiasi kikubwa, ili kuwatia moyo CEO akawachukua vijana aliowaita wakandarasi wakavaa vi nguo vinavyotumiwa na wajenzi akaitisha press akaenda bunju kuonyesha kuwa wako site,ili kuwapumbaza wanasimba wazidi kuchangia.

japo baadae watani zao yanga walijitoa kwenye shindano ila Simba waliendelea kuchanga, mara zoezi likasitishwa gafla bila maelezo yeyote!! Na mpaka leo hakuna chochote kinachoendelea uko bunju kwenye uwanja wao,wala hakuna taarifa yeyote pesa ziko wapi?kama zipo benki, benki gani na kwa makubaliano yapi?

Ninachokiona mimi hapo Simba kuna usanii mkubwa unaendelea!maana haiwezekani watu wanachangisha michango hawatoi taarifa yeyote kuhusu michango imefika kiasi gani?na gafra tu wanakuja tena na sound za kukusanya michango mingine bila kuonyesha michango ya nyuma ilifanya nini? CEO wa Simba inaonekana ana taka kufanya mambo mengi peke yake kwa wakati mmoja bila kujali nguvu aliyonayo.

Mashabiki wa Simba muamke haiwezekani pesa zichangwe bila kuonyesha matumizi yake! Huo ni wizi, CEO wa Simba na viongozi wa bodi ya wakurugenzi, acheni janja janja za kuwaibia mashabiki zenu uku mnashindwa kuwaletea furaha! Mmeigeuza Simba SC kama pombe ya ngomani ambayo yanga wanajichotea tu! mmegeuza washabiki zenu kama wajinga wasiojielewa,siku wakiamka watawatafuna kama lilivyo jina la timu yao.

Nyie si mlijitoa,ulizeni Kwanza na hizo za kwenu zimefanyia kitu gani kabla ya kurukia mambo ya Simba
 
Mashabiki wa Simba muamke haiwezekani pesa zichangwe bila kuonyesha matumizi yake! Huo ni wizi, CEO wa Simba na viongozi wa bodi ya wakurugenzi, acheni janja janja za kuwaibia mashabiki zenu
lakini mbona sisi tunaoibiwa hatutokwi mapovu kama wewe usiyeibiwa? Barbra lete mchango mwingine tumkere kinyesi change formula
 
Back
Top Bottom