Uongozi ni kipaji siyo vyeti hata Dr Slaa hana degree!

Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Nakushangaa mtoa post... dr slaa hana degree.... huo udokta kaupataje... bila kupita degree?
Acha kupotosha umma
 
Mpuuzi kabisa wewe..

Akili zako hazikutoshi..

Wee ni first class ngumbaru!

Mtu ana prefix ya cheo Dr anakuwaje hana degree??

For your information Dr Slaa ana Phd.

Eti Daudi Bashite ana talanta..!! Damn..!!

Huyu ni Mwizi wa Cheti na Mhalifu wa Taaluma.

Bora viroba vilivyopigwa marufuku.. Athari zake zilikuwa kubwa sana.
Nimeshangaa sana mtoa post.... au ndio bashite huyu anatumia id mpya?
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Prof wa cuccm?
 
Unapoandika mada fanya ka utafiti kidogo. Dr Slaa anazo degree tele tu. Mapadre wa kikatoliki huwi padre mpaka umekula degree ya falsafa na teolojia (3 years each) plus mielimu kibao. Sembuse Dr Slaa???

Hizo mboyoyo nyingine czichangii
 
Watanzania ni manyumbu Mno!! Akili yako ina kutosha wewe mwenyewe na nadhani hata wewe mwenyewe nina wasiwasi haikutoshi!! Dr slaa kaachwa mbali sana na Prof Lipumba? Unasema dr slaa hana degree? Hivi nyie watu mnatoka wapi? Kwa akili hizi tutaendelea kuteseka sana, anakuwaje dr bila degree? Hata ingekuwa ni medical si lazima angekuwa nayo moja basi! Pumbavu wewe!!! Wote ni PhD holder Lipumba kamzidi na cheo cha prof tu ambacho ungekuwa na akili ningekufafanulia maana yake lakini kwa sababu umeshaonyesha unyumbu hata huwezi kuelewa!!! Tuje kwa huyo mwizi wa cheti ambaye ndio amesababisha hadi ukamdharau dr slaa! Ana karama gani ya uongozi? Kudhalilisha watu? Kutukana watu? Kuwa na majivuno? Kutokujua vipaumbele au majukumu yake na mipaka yake? Kuamka kila siku na mipango mipya isyotekelezeka? Makonda ni mzuri labda kwenye kujipendekeza au kuwa Messenger tu hawezi kuwa kiongozi mzuri!! Kwa watu wenye akili yenye matege kama wewe na akili fupi kama wewe ndio huwezi kuelewa chochote kwa sababu akili imedumaa kuanzia ukiwa huko misungwi
Jibu mubashara kabisa

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Yaani yote ni kumtetea bashite tu Dr slaa Hata kama hana degree form six amefaulu vizuri huwezi kwenda upadre bila kufaulu
Baeleze bwana.. hakuna padri mbumbumbu.. au vihiyo... mapadri wote wamepiga shule.. tena wakafaulu...
 
ni bora makonda angekuwa na hicho kipaji cha uongozi,,,lakini hana ni fully kujipendekeza na misifa! Lakini swala la kufoji vyeti ni jinai!!
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Sasa serikali inahangaika nini kutafuta wenye vyeti bandia? Bora ungenyamaza tu. .
 
Unahitaji maombi haraka sana! Kimbia haraka kanisani ukaombewe..
 
DR REMI ONGALA NA PROF MAJI MAREFU?
MADAKTARI WA FALSAFA KILA KICHOCHORO CHA MTAA WA DANGANYIKA LAKINI HATA UMEME TU WA KUTOSHA HAMNA, MADAWATI MASHULENI BADO NI SINTOFAHAMU, KILIMO BADO KINATEGEMEA MVUA LICHA YA KUWAMAZIWA YOTE MAKUBWA AFRIKA TUMEPEWA BUREEE.
KWELI KUSOMA SIO KUELIMIKA
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Acha mboyoyo weka vyeti vya daudi
 
Tatizo ni uwizi wake wa vyeti angekuwa hata darasa la nne sawa tu...kuiba cheti cha Paulo na kujifanya wewe Paulo kumbe wewe daudi
Mkuu wamesahau enzi ya kihiyo alifoji vyeti pamoja na kwamba sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika lakini kihiyo alivuliwa ubunge kwa kudanganya elimu yake. hivyo tuwe wakweli tusijali mahaba.kama vilabu vya mpira vinataka form aliyefaulu.(Mzee dalali ilibidi a some)
 
acheni upumbavu ninyi, hapa hatuongelei kuwa na vyeti, tunaongelea forgery, uttering of false documents na personation. kuna watu wameshafungwa wako jela hivi tunavyoongea, kwa makosa aliyoyafanya bashite, sasa kwanini yeye asifungwe? au sheria ni kwa walalahoi tu wakuu wa mikoa au wale ambao wapo karibu na kiongozi mkuu hawatakiwi kuwajibishwa na sheria? tatizo lenu nii umbumbumbu.ndo maana mlipata zero.
Watendaji wa vijiji/kata walio darasa la saba waliokuwa na uzoefu wa mda mrefu waliamuliwa wajiendeleze kuipata elimu ya kidato cha nne kama wakitaka kubaki na ajira
 
Kumufananisha Dr slaa mwenyekiwango cha kuongoza nchi na mwizi wa vyeti anayetakiwa kuwepo segerea ni udhalilishaji.
 
Ningekuwa mm mleta mada ningesema,jaman eeheee ilikuwa hadidhi halafu ningesema ngoja nikakojoe.Nisingerudi kwakua nimeaha jiona sina AKILI YANI SIELEWI KM NILIANDIKIWA VILE!!!EEEH SINA AKILI
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Yaani kati ya hoja "MUFILISI" nilizowahi kuzisoma ni kuzisoma hii ya kwako.
 
duuh mtoa mada kweli kakurupuka kumlinganisha Dr slaa na bashite hahaaaaaa.
Utaitwaje Dr bila kupitia ngazi ya degree..!!?

Kosa la bashite ni kufoji vyeti ndio hilo tunalomkomalia na sio eti sijui kipaji kwani walimu na watumishi wengine waliofukuzwa baada ya uhakiki wa vyeti walikua hawana vipaji..!!?

Alafu JamiiForums huwa mnatumia vigezo gani kumlabel members kama JF-Expert Member manake sielewi kama mtoa mada ni expert member kweli inawezaje anawaza na kufikiri kama pathetic expert kutokana na thread yake apo juu hahaaaaaaa
 
Hapana kuna sehemu vyeti vinahitajika ila kunamahali ni uzoefu tu tukisema vyeti havina maana basi hata elimu haina maana si ndio
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Ukitaka kujua hali ilikuwa tulivu namna ni pale mwenyewe alikimbilia makanisa zaidi ya 6 kwa jumapili moja. Pia hata wewe umeshangaza kwa kusifia kiongozi mtu huku ukiwa hujui vigezo vya kiongozi mzuri
 
Back
Top Bottom