Uongozi ni kipaji siyo vyeti hata Dr Slaa hana degree!

Weka vyeti acha maneno hakuna kanjanja mnajaribu ku relate vitu visivyoeleweka
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
we hamnazo kabisa, unazani iyo dk kabatizwa nayo?
 
Dr Slaa hakuiba Vyeti wala Kugushi Vyeti.
Dr Slaa hakupata ZERO Kidato cha nne.
Bashite lete Vyeti Mkuu wacha Maneno Mingi
 
Watanzania ni manyumbu Mno!! Akili yako ina kutosha wewe mwenyewe na nadhani hata wewe mwenyewe nina wasiwasi haikutoshi!! Dr slaa kaachwa mbali sana na Prof Lipumba? Unasema dr slaa hana degree? Hivi nyie watu mnatoka wapi? Kwa akili hizi tutaendelea kuteseka sana, anakuwaje dr bila degree? Hata ingekuwa ni medical si lazima angekuwa nayo moja basi! Pumbavu wewe!!! Wote ni PhD holder Lipumba kamzidi na cheo cha prof tu ambacho ungekuwa na akili ningekufafanulia maana yake lakini kwa sababu umeshaonyesha unyumbu hata huwezi kuelewa!!! Tuje kwa huyo mwizi wa cheti ambaye ndio amesababisha hadi ukamdharau dr slaa! Ana karama gani ya uongozi? Kudhalilisha watu? Kutukana watu? Kuwa na majivuno? Kutokujua vipaumbele au majukumu yake na mipaka yake? Kuamka kila siku na mipango mipya isyotekelezeka? Makonda ni mzuri labda kwenye kujipendekeza au kuwa Messenger tu hawezi kuwa kiongozi mzuri!! Kwa watu wenye akili yenye matege kama wewe na akili fupi kama wewe ndio huwezi kuelewa chochote kwa sababu akili imedumaa kuanzia ukiwa huko misungwi
bora umemjibu vizuri mkuu, miningemtukana kabisa.. shame
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
tuna watanzania milioni 45 unataka kutuaminisha kuwa huyo unayemtetea ndo mwenye kipaji katika kundi kubwa hili ni yeye tu
.
 
Watanzania ni manyumbu Mno!! Akili yako ina kutosha wewe mwenyewe na nadhani hata wewe mwenyewe nina wasiwasi haikutoshi!! Dr slaa kaachwa mbali sana na Prof Lipumba? Unasema dr slaa hana degree? Hivi nyie watu mnatoka wapi? Kwa akili hizi tutaendelea kuteseka sana, anakuwaje dr bila degree? Hata ingekuwa ni medical si lazima angekuwa nayo moja basi! Pumbavu wewe!!! Wote ni PhD holder Lipumba kamzidi na cheo cha prof tu ambacho ungekuwa na akili ningekufafanulia maana yake lakini kwa sababu umeshaonyesha unyumbu hata huwezi kuelewa!!! Tuje kwa huyo mwizi wa cheti ambaye ndio amesababisha hadi ukamdharau dr slaa! Ana karama gani ya uongozi? Kudhalilisha watu? Kutukana watu? Kuwa na majivuno? Kutokujua vipaumbele au majukumu yake na mipaka yake? Kuamka kila siku na mipango mipya isyotekelezeka? Makonda ni mzuri labda kwenye kujipendekeza au kuwa Messenger tu hawezi kuwa kiongozi mzuri!! Kwa watu wenye akili yenye matege kama wewe na akili fupi kama wewe ndio huwezi kuelewa chochote kwa sababu akili imedumaa kuanzia ukiwa huko misungwi
Umesema yote niliyotaka kusema mwanawane.
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Huko unakoelekea siyo kuzuri, utachokonoa PhD za wengi, umeshasahau hoja ya Ben saa 8? alisema wazi vitabu vya waliomaliza PhD zao UDSM vipo lakini... jina la ... halipo.

shauri yako.
 
mtoa mada jitahidi kuficha ujinga wako Dk unajua maana yake,degree unajua maana yake,?kweli tanzania kuna matahahira wengi sana,na wewe ndio mkubwa wao utakuwaje Dk bila degree?rudi shule mama,afu kosa la bashite sio kuwa na degree au la bali forgery,kama hujui maana ya forgery mlaumu baba yako kutokupeleka shule
Babaake alimpeleka shule, shida ni fa fa fa...divisheni 5 aliyopata ndio inamfanya aandike haya aliyoandika hapa.
 
Yaani ndio nimeamka tu nakutana na huyu Bashitean na upuzi wake. Waweza kuta eti huyu nae ni kiongozi ama wa kiserikali au wa CCM.
Неграмотный
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Degree ama Elimu ni muhimu chalii, sasa si unaona huyo Dr Slaa unayemsema aliishia kufungiwa chumbani na mkewe na hakukohoa?
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.

Sawa sawa. Naomba nijibu hili swali langu bila ya kuzunguka au kutoa maelezo mengi. Hao kina slaa walidanganya? Walibadili identity zao au kutumia majina ya watu wengine? Acha kuzungusha maneno au na wewe ulizungusha huko shuleni? Suala ni vyeti, kudanganya na kufoji.
 
Watanzania ni manyumbu Mno!! Akili yako ina kutosha wewe mwenyewe na nadhani hata wewe mwenyewe nina wasiwasi haikutoshi!! Dr slaa kaachwa mbali sana na Prof Lipumba? Unasema dr slaa hana degree? Hivi nyie watu mnatoka wapi? Kwa akili hizi tutaendelea kuteseka sana, anakuwaje dr bila degree? Hata ingekuwa ni medical si lazima angekuwa nayo moja basi! Pumbavu wewe!!! Wote ni PhD holder Lipumba kamzidi na cheo cha prof tu ambacho ungekuwa na akili ningekufafanulia maana yake lakini kwa sababu umeshaonyesha unyumbu hata huwezi kuelewa!!! Tuje kwa huyo mwizi wa cheti ambaye ndio amesababisha hadi ukamdharau dr slaa! Ana karama gani ya uongozi? Kudhalilisha watu? Kutukana watu? Kuwa na majivuno? Kutokujua vipaumbele au majukumu yake na mipaka yake? Kuamka kila siku na mipango mipya isyotekelezeka? Makonda ni mzuri labda kwenye kujipendekeza au kuwa Messenger tu hawezi kuwa kiongozi mzuri!! Kwa watu wenye akili yenye matege kama wewe na akili fupi kama wewe ndio huwezi kuelewa chochote kwa sababu akili imedumaa kuanzia ukiwa huko misungwi
Sidhan kama atarud tena
 
Povu daraja la kwanza A+
 
1d298932995bf0132018c946fafd1f81.jpg
Cyber Crime Act hainihusu hapo,nimeiweka kama nilivyoichukua.
 
Prof Lipumba amekiri mara kadhaa kwamba aliridhia Dr Slaa awe mgombea urais kupitia Ukawa.Kielimu Prof amemuacha mbali sana Slaa lakini kiuongozi ni kinyume chake.Tuna mifano mingi ya watu waliojaliwa vipawa vya uongozi bila kujali elimu walizopitia.Mtu mwenye talanta ya uongozi huwa ni mwenye kuthubutu na wakati wote hujiamini ktk yale ayatendayo, ukiwaangalia kwa umakini Lipumba na Slaa utanielewa.Lakini pia yupo RC wa Dar es salaam aliyejaaliwa talanta hii ya uongozi, yeye husema na kutenda.Tuliaminishwa huko nyuma kwamba kuna baadhi ya mafisadi na wauza ngada wakiguswa tu au kutajwa nchi itatikisika lakini Makonda amewagusa na kuwataja na nchi iko shwari.Hakika tusome kwa ajili ya kuwa matabibu, wachumi, wahasibu nk lakini ili tuwe viongozi tunapaswa kuwa na hofu ya Mungu na kumuomba na kumtukuza yeye kila siku.
Leaders are born not made .

discuss
 
Yaani yote ni kumtetea bashite tu Dr slaa Hata kama hana degree form six amefaulu vizuri huwezi kwenda upadre bila kufaulu
 
Back
Top Bottom