charles mvuye
Member
- Nov 6, 2016
- 8
- 2
Walishapangiwa maeneo bhana Nyegezi na Kiloleli,tena miezi mitatu nyuma walishaambiwaMachinga jijini Mwanza Leo wamevunjiwa vibanda vyao vya biashara bila makubaliano na serikali wapi wataenda kufanya biashara zao huku mkuu wa wilaya Nyamagana akikataa kabisa kutokaa meza moja kulijadili na viongozi wa wafanya biashara hao.
Nzuri sanaTown kote ni kweupe wameondolewa
Uwe unafanya utafiti hata kidogo au uwe na credible source. Ukweli ktk habari yako ni kuvunjiwa vibanda, hayo mengine ni uongo.Machinga jijini Mwanza Leo wamevunjiwa vibanda vyao vya biashara bila makubaliano na serikali wapi wataenda kufanya biashara zao huku mkuu wa wilaya Nyamagana akikataa kabisa kutokaa meza moja kulijadili na viongozi wa wafanya biashara hao.
Mmmh...mr. anaye kweli? Wallahi mwanaume amedhalilishwa.Mlinipigia Kura Hakuna Kuondoka Yaani Hapa Hapa
Mwanza Ikalipuka Kwa Shangwe Vifijo Na Nderemo
Dada Mmoja Wakati Wa Kampeni Akiwa Kanda Ya Ziwa
Alisema Mkulu Angeshindwa Urais Basi Angeacha Kufanya Tendo La Ndoa
Akaenda Mbali Zaidi Dada Huyo Kuwa Akishinda Tendo La Ndoa Anafanya Kama Kawaida
Najua Sasa Hivi Naye Anaisoma Number Na Tendo Lake La Ndoa
Na Nyamhongolo piaWalishapangiwa maeneo bhana Nyegezi na Kiloleli,tena miezi mitatu nyuma walishaambiwa