Uongozi Mwanza uchunguzwe, machinga wavunjiwa vibanda bila mbadala

charles mvuye

Member
Nov 6, 2016
8
2
Machinga jijini Mwanza Leo wamevunjiwa vibanda vyao vya biashara bila makubaliano na serikali wapi wataenda kufanya biashara zao huku mkuu wa wilaya Nyamagana akikataa kabisa kutokaa meza moja kulijadili na viongozi wa wafanya biashara hao.
 
Naliona wanamlilia MKURU
Oooh sisi tulikuchagua tusaidie,
ALLAH...kumbe MKURU hakuwajibu
Ha..! Hapo lazima ujue Hesabu
 
1480759110270.jpg
 
Siamini kama wamegeukwa! Huko si ndiko mkulu alifungia kampeni na kujizolea kura nyingi zaidi...
 
Machinga jijini Mwanza Leo wamevunjiwa vibanda vyao vya biashara bila makubaliano na serikali wapi wataenda kufanya biashara zao huku mkuu wa wilaya Nyamagana akikataa kabisa kutokaa meza moja kulijadili na viongozi wa wafanya biashara hao.
Walishapangiwa maeneo bhana Nyegezi na Kiloleli,tena miezi mitatu nyuma walishaambiwa
 
Mlinipigia Kura Hakuna Kuondoka Yaani Hapa Hapa
Mwanza Ikalipuka Kwa Shangwe Vifijo Na Nderemo
Dada Mmoja Wakati Wa Kampeni Akiwa Kanda Ya Ziwa
Alisema Mkulu Angeshindwa Urais Basi Angeacha Kufanya Tendo La Ndoa

Akaenda Mbali Zaidi Dada Huyo Kuwa Akishinda Tendo La Ndoa Anafanya Kama Kawaida
Najua Sasa Hivi Naye Anaisoma Number Na Tendo Lake La Ndoa
 
Machinga jijini Mwanza Leo wamevunjiwa vibanda vyao vya biashara bila makubaliano na serikali wapi wataenda kufanya biashara zao huku mkuu wa wilaya Nyamagana akikataa kabisa kutokaa meza moja kulijadili na viongozi wa wafanya biashara hao.
Uwe unafanya utafiti hata kidogo au uwe na credible source. Ukweli ktk habari yako ni kuvunjiwa vibanda, hayo mengine ni uongo.
 
Safi sana kapu la CDM linaongeza namba kwani 2020 sio mbali mungu akijalia
 
Mlinipigia Kura Hakuna Kuondoka Yaani Hapa Hapa
Mwanza Ikalipuka Kwa Shangwe Vifijo Na Nderemo
Dada Mmoja Wakati Wa Kampeni Akiwa Kanda Ya Ziwa
Alisema Mkulu Angeshindwa Urais Basi Angeacha Kufanya Tendo La Ndoa

Akaenda Mbali Zaidi Dada Huyo Kuwa Akishinda Tendo La Ndoa Anafanya Kama Kawaida
Najua Sasa Hivi Naye Anaisoma Number Na Tendo Lake La Ndoa
Mmmh...mr. anaye kweli? Wallahi mwanaume amedhalilishwa.
 
Mambo yaliyofanywa Mwanza yamedhihirisha ombwe kubwa la uongozi katika ngazi ya mkoa na wilaya. Mambo yaliyofanyika siyo ya kufanywa karne hii na hasa tukizingatia hali ya uchumi waliyonayo wananchi. Haya siyo majipu ni nundu kabisa!
 
Acha waisome namba maana waliyataka wenyewe.... Sasa wa kuchunguza uongozi wa mwenzie ni nani elihali wa juu anasapoti Kila upuuzi anaoufanya wa chini yake!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom