Uongozi mpya CHADEMA Ukonga wapatikana - M. Aweda Ndani

Acha kunnesha watu ulivyo punguani. JF haina chama, lakini wanaJF wana vyama.

Hana haja ya kubadili chochote maana hakusema "JF imeshinda", bt kasema "wanaJF wameshinda." sasa hapo kuna shida gani??

Mbona makanisa/misikiti haifungamani na chama chochote lakini waumini wake wana vyama..??
Jaribu kufikiri kabla hujaropoka maana unajidhalilisha.

mheshimiwa punguza makali ya maneno na jazba, tumia muda mwingi kuelimisha si kushambulia kwani watu wengi wanamitazamo tofauti ni vema ukaenda nao polepole

Acha kunnesha watu ulivyo punguani. JF haina chama, lakini wanaJF wana vyama.
Hana haja ya kubadili chochote maana hakusema "JF imeshinda", bt kasema ;wanaJF wameshinda. sasa hapo kuna shida gani??
Mbona makanisa/misikiti haifungamani na chama chochote lakini waumini wake wana vyama..??
Jaribu kufikiri kabla hujaropoka maana unajidhalilisha.
Kweli nimeamini ujinga ni mzingo siku ingine ukianza kusoma thread anzia post ya kwanza sio kukurupuka tu kujibu!
Ulivyokuwa punguani ujui Heading ilikuwa imeandikwaje, inavyosemeka sasa hivi Mods wameibadilisha, kama upo mbege usiingie JF, subiri kwanza mpaka kichwa kitulie

Hivi umeishia la ngapi vile??
Unasema heading imebadilishwa na MODs, halafu unasema ningesoma kuanzia mwamzo. Sasa ningesoma nn while ilishabadilishwa?

We argue on what appears, and not on hypothetical matters.
Siju nyingine mwombe hata mkeo ushauri kabla hujakurupuka.

mheshimiwa punguza makali ya maneno na jazba, tumia muda mwingi kuelimisha si kushambulia kwani watu wengi wanamitazamo tofauti ni vema ukaenda nao polepole

Nashukuru mheshimiwa,
ushauri wako utafanyiwa kazi. Ila watu wengine wanakera sana.

Pamoja sana mkuu. Tutahitaji kuwatumieni watu wa Arusha kwani hamasa ya huko kwenu ni kubwa kwahiyo kadri inavyowezekana tutakuwa tukiwasiliana nanyi mara kwa mara.

karibuni sana!

Hivi umeishia la ngapi vile??
Unasema heading imebadilishwa na MODs, halafu unasema ningesoma kuanzia mwamzo. Sasa ningesoma nn while ilishabadilishwa?

We argue on what appears, and not on hypothetical matters.
Siju nyingine mwombe hata mkeo ushauri kabla hujakurupuka.
Teh teh teh, shule za kata bana utazijua tu, kwa kweli ni mzigo kwa taifa ni janga kama Kansa

Lakini hizi shule za kata si ndio mafanikio mnayojivunia wanamagamba!?
Kwahiyo hapa wa kulaumiwa ni chama cha magamba na serikali yake.

Wakuu wote niwahahakishie kwamba tumejipanga vizuri kwa ajili ya kutekeleza vizuri majukumu yetu. Bila shaka kwa safu iliyochaguliwa leo, kazi zi,mepata watu.

hongera sana,kuna kijana majid anatufaa sana yupo kijiwe saml yombo aliwah kuwa mwenyekit s mtaa chausta,jimbo liwe mal ya chadema

"Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dk W. Slaa

Ritz hizi signature zako unazipataga wapi, nitafutie na mimi moja tafadhari.

Wanajf wawili wameshinda uongozi chadema jimbo la ukonga. Mikael Aweda-m/kiti, Mwita Maranya-mjumbe kamati ya utendaji.

On serious NOTE. Hongereni sana Mikael na Mwita kwa kuamua kukiongoza chama huko ukonga, lakini mjue tu kuwa mtaendelea kusimamia kesi za matokeo mpaka mnazeeka maana ukonga ni ya mali ya CCM. Pia huu muundo kuwa na viongozi wa majimbo unafanana na ule wa wilaya kama wa CCM au huu ni muundo mpya?

Nilipo bold niesikitishwa na fikira zako potofu tambua kuwa hakuna chama chenye hati miliki ya jimbo lolote wapiga kura ndo wataamua.

hongera sana,kuna kijana majid anatufaa sana yupo kijiwe saml yombo aliwah kuwa mwenyekit s mtaa chausta,jimbo liwe mal ya chadema

Anakaribishwa chadema,maadam ana nia thabiti na msimamo wakweli kuwatetea na kuwapigania watanzania wenzake.

On serious NOTE. Hongereni sana Mikael na Mwita kwa kuamua kukiongoza chama huko ukonga, lakini mjue tu kuwa mtaendelea kusimamia kesi za matokeo mpaka mnazeeka maana ukonga ni ya mali ya CCM. Pia huu muundo kuwa na viongozi wa majimbo unafanana na ule wa wilaya kama wa CCM au huu ni muundo mpya?

Kwa mtu makini anayefahamu siasa na kulifahamu jimbo la ukonga hawezi kuunga mkono kauli yako,ukonga si mali ya magamba.
Kazi ambayo tumeanza kuifanya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana imekuwa na mafanikio makubwa hadi sasa tuna wanachama zaidi ya 10,000 na kazi bado inaendelea,hadi uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 mtaanza kutusoma.

hadi uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 mtaanza kutusoma.

Kuwa kiongozi wa upinzani kazi rahisi sana, kila ukibanwa jibu lako ni subiri uchaguzi unaofuata. Bahati mbaya muasisi wa fikra hizi ndugu Tambwe Hiza aliona ni uenda wazimu. Ikifika 2014 hata hicho chama chenyewe sidhani kama kitakuwa bado hai.

Back
Top Bottom