Uongozi ITV mnahatari kwa hili,

Uongozi ITV mnahatari kwa hili,

Labda walidhani bashite atakuwepo na wao wapo kwenye mgomo wa habari za bashite
 
Jpm awape ITV tuzo!! Hawa Si alisema ni wachochezi!
 
Inamana hamkuwa na taarifa kuwa kutakuwa na tuzo za RAIS MZALISHAJI BORA WA VIWANDA?
maana mmeitwa tuzo za ITV kimya! ,wakaitwa nipashe kimya! Wakaitwa the guardian kimya! hadi ikabid aombwe apokee mzee mengi mwenyewe, ambaye yupo mbele naye ni miongoni mwa wanao gawa tuzo hizo na vyeti, aisee ! Hadi ikabidi waziri amshauri aje hata mke wake ndio kaja kupokea mama mengi.
POLENI SANA
Uliposoma uandishi na kuandika insha uliambiwa uanzeje sentensi? Unaweza anza insha au story na ina maana? Bashite mkubwa we.
 
Acha ujuaji wewe mimi nimeeleza tukio lilivyo kuwa sijatoa huku ya nini wafanywe bali nimehoji kulikoni maana yake wao kama wana utetezi watajitetea wenyewe huko au hata kuuliza nako hadi ubalance? Na utabalance vipi bila kuhoji upande mmoja mmoja?
Sasa ndiyo umeandika nini,soma ulivyoandika ndiyo ujue kuwa umekurupuka, kama hujui kuwakilisha habari omba msaada ufundishwe, usione aibu kama hujui
 
Uliposoma uandishi na kuandika insha uliambiwa uanzeje sentensi? Unaweza anza insha au story na ina maana? Bashite mkubwa we.
Mwambie huyo mleta mada anajifanya muandishi kumbe hakuna kitu
 
Mwambie huyo mleta mada anajifanya muandishi kumbe hakuna kitu
Bashite wengi kuna huyu anaanza na cocobitch whatsoever akiandika unajiuliza amesomea wapi na ana capacity gani ya kujieleza?
 
ITV hawapendi unafiki kabisa ww uaongelee kuwa ni wachochezi ktk taarifa zao za habari halafu uje na katuzo ambako hakana msaada wowote kwao nani apokee mi nasema hongera itv kwa kuonesha uhalisia wenu
 
Inamana hamkuwa na taarifa kuwa kutakuwa na tuzo za RAIS MZALISHAJI BORA WA VIWANDA?
maana mmeitwa tuzo za ITV kimya! ,wakaitwa nipashe kimya! Wakaitwa the guardian kimya! hadi ikabid aombwe apokee mzee mengi mwenyewe, ambaye yupo mbele naye ni miongoni mwa wanao gawa tuzo hizo na vyeti, aisee ! Hadi ikabidi waziri amshauri aje hata mke wake ndio kaja kupokea mama mengi.
POLENI SANA
Kwani lazima wapokee hizo tuzo hata kama zinatoka kwa rais, mnataka wapokee kitu ambacho badae wawasimange na kutaka wafanye kazi kama watakavyo serikali, hata hivyo huyo mkewake amesimama basi tu na sio kwamba hawakuwepo watumishi au mkurugenzi wa kupokea tuzo hapana, kaeni kimya hayo ni makusudi msitake kujua ni kwanini.
 
Si kwamba zilikuwa zinatolewa na rais hapana ila ni tuzo zilizo kuwa zinatolewa na CTI na BANK M ila tuzo hizo ndio zinaitwa TUZO ZA RAIS MZALISHAJI BORA WA VIWANDA. Huwa wanatoa kila mwaka ila kati ya wageni walio kuwepo ni makamu wa Rais na waziri wa viwanda na biashara , mh.mengi na vuongozi wengine wa shirikisho la biasha na viwanda
 
Back
Top Bottom