Uongo wa wanawake

skunk

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
166
Reaction score
27
habari wakuu poleni na majukumu ya kila siku, mara nyingi mahusiano mapya wapenzi huwa sio halisi yaani kila mmoja hupenda kuficha zile tabia zake halisi yaani kila zuri lake (pretending) but kuna swala moja la wanawake kuwapamba wenza wao mpaka jamaa anajiona rijari peke yake ulimwenguni, tatizo ni pale mwanzo wa mapenzi wanawake hupenda kuwasifia wenza wao ooh! sweet umejaaliwa dushelele + na vilio vya uongo wakati wa mahaba basi jamaa ulimwengu wake, sasa basi wapenzi wakizoeana basi dushelele halisifiwi tena wala vilio vya mahaba hakuna tena, mbaya zaidi mapenzi yakikalibia na mwisho wanaanza kuutoa mapungufu mdushelele mara oh dear kula vizuri uongezeke either unene au urefu, mpaka mwisho wa siku wanaume wanabaki njia panda kuhusu maumbile yao kutokana tu maneno ya wenza wao
 
Mwanamke ni habari nyingine!
Kati ya wanaume 10 waliokwisha mng'ata, wote wameshaambiwa "sijaona mwanaume niliyempenda duniani kama wewe!"
kila mmoja kadanganywa kwa wkt wake!
 
sasa sijui kwao ni principal au ni procedure
 
Mie wangu mpaka leo namsifia maana anafanya kazi kwelkweli si kitoto... Arushaone big up hakuna kama wewe,,,,,,, hivi ndoa yetu inamwaka wa ngapi sasa??????
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ni habari nyingine!
Kati ya wanaume 10 waliokwisha mng'ata, wote wameshaambiwa "sijaona mwanaume niliyempenda duniani kama wewe!"
kila mmoja kadanganywa kwa wkt wake!

shem usiniambie YNNAH ndio zake
 
Last edited by a moderator:
Mie wangu mpaka leo namsifia maana anafanya kazi kwelkweli si kitoto... Arushaone big up hakuna kama wewe,,,,,,, hivi ndoa yetu inamwaka wa ngapi sasa??????

tatizo ni pale mnapoachana kitu cha kwanza kukikandia ni huo mdushelele
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ni habari nyingine!
Kati ya wanaume 10 waliokwisha mng'ata, wote wameshaambiwa "sijaona mwanaume niliyempenda duniani kama wewe!"
kila mmoja kadanganywa kwa wkt wake!

Kadanganywa kwa wakati wake na style yake
 
tatizo ni pale mnapoachana kitu cha kwanza kukikandia ni huo mdushelele

hapa ngoja Mamndenyi aje atoe uzoefu maana ameshaachika mara kibao na wanaume tfautitofauti, mie ndio kwaanza hata wazo la kuachika sina!
 
Last edited by a moderator:
Nikigusa hawezi simama au kutembea mtu mpaka akiniona anajihami ki-saikolojia.........kama unasifiwa mwanzoni tu chukua hatua Lady doctor upo?
 
Last edited by a moderator:
YNNAH she's an individual fimale!
She's a certain!
She's a particular!
She's specific!
Si mwanamke wa ku'beep , ni wa kupiga!
Amekamilika idara zote! Kuanzia veranda to bedroom.

hahaaa kwahiyo YNNAH yeye sio habari nyingine
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…