Uongo wa PINDA bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongo wa PINDA bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chitambikwa, Feb 19, 2011.

 1. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wadau nimefurahi kidogo kukuta tovuti ya chama changu ina habari hii nikaona niwashirikishe na wale wa sisiemu ili muone Pinda anavyodanganya kama Kikwete alivyosema hamna kampeini bila uongo

  Pinda adanganya Taifa Uwongo wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Pinda mwongo?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeah, uongo na ukweli havitangamani!
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pinda ni ndege wa sadaka, CCM wanafurahia sana kuwa na mtu kama yule. Kauli nyingi tata atasema yeye na rais wetu JK atakuwa nyuma ya kivuli cha Pinda. Akichemka yeye bado hajapoteza mvuto kama rais wetu JK.
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo tuseme watanzanania bila uongo haiwezekani?naamini kwa kumtegemea MUNGU a day to come revolutio of Tanganyika ninayoipenda na viongoz wake nisiowapenda will happen
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni kweli atakua amelidanganya bunge na taifa ndio maana makinda alimzuia Godbless Lema kutoa utetezi wake kwa njia ya kulihutubia bunge huku wananchi wakishuhudia live. Ukitaka kuamini pinda alidanganya soma raia mwema la juma tano tarehe 16/2/11
   
Loading...