Akili yako mwenyewe bado hujajua how ina-operate za kwetu utaziweza mwanetu?Something to add, mnao fikiri kuwa inakuja humu kutafuta attention mnakosea sana. Niko humu kuona how akili za watanzania zinavyo operate. Niko kujifunza zaidi
Ulisemaga mwenyewe mpaka ukaanzisha na uzi kabisa. Kijana una shida sana. One unavyogeuka tambala la deki sasaSomething to add, mnao fikiri kuwa ninakuja humu kutafuta attention mnakosea sana. Niko humu kuona how akili za watanzania zinavyo operate. Niko kujifunza zaidi
Zamani ulikuwa unatumia jina gani hapa jf, maana ni kama umekimbia identity yako na kutafuta nyingineExactly bora wewe umeiona hilo😂 na inalipa kinyaa, ssio kwa wengine bali kwangu ninayeona tension zinavyo kuwa na kushuka