BULLDOZZER
Senior Member
- Jan 18, 2011
- 103
- 0
Toa kwanza sababu kwa nini tukuamini wewe na si Tanzania Daima? maana haya makanusho tumeshayazoea, imekuwa kama fasheni fulani hiviJana kulikuwa na thread iliyokuwa na kichwa cha habari "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo kuhusu Dowans" Source ya thread hiyo ilikuwa gazeti la "TZ Daima". Watu wengi tulipoteza MUDA mwingi kuchangia thread hiyo. Katika gazeti hilo kulinukuliwa habari zilizotoka katika kikao cha baraza la Mawaziri ambacho JK alikuwa ni mwenyekiti wake. Nukuu mbalimbali zilitolewa kama ushahidi wa kilichosemwa kikaoni.
Habari zilizothibitishwa na Sitta mwenyewe na Pia Katibu mkuu Ndg. Ph. Luhanjo zinasema HAPAKUWA NA KIKAO CHA MAWAZIRI WALA HAKUNA ALIYEWAZIBA MDOMO SITTA NA MWAKYEMBE. habari hizi zimeandikwa na magazeti yote ya leo kasoro TZ Daima.
Wadau: Katika tasnia ya habari, Je, hamuoni kama gazeti hili ni hatari kwa usalama wa nchi yetu?. Je, gazeti kama hili katika utawala unaojali sheria za vyombo vya habari halipaswi kufungiwa kwa muda? Je, si kweli kwamba waandishi wa gazeti hili ni MAKANJANJA?. naomba tuwe wazalendo katika kujadili hili. Tanzania ni yetu na ni sisi wenye damu mpya tunaoweza kuifikisha nchi tunapopataka kwa AMANI.
gazeti hili linamuhariri /makamo muhairiri muislam, au mnalaumu annur tu humu jf?Ndio tz daima ni gazet hatar mno la propaganda tena za uongo za chama fulani,ila sita na mwakyembe wameshatoa tamko kua tz daima inatakiwa iwaombe radhi na ikanushe habari hiyo ya uongo au watafungua mashtaka dhidi ya tz daima gazet la propaganda za uongo na upotoshaji.
magazeti hatari ni al huda na al nuru,sauti huru,tazama,mtanzania,rai,habari leo
gazeti hili linamuhariri /makamo muhariri muislam, au mnalaumu annur tu humu jf?Ndio tz daima ni gazet hatar mno la propaganda tena za uongo za chama fulani,ila sita na mwakyembe wameshatoa tamko kua tz daima inatakiwa iwaombe radhi na ikanushe habari hiyo ya uongo au watafungua mashtaka dhidi ya tz daima gazet la propaganda za uongo na upotoshaji.
Toa kwanza sababu kwa nini tukuamini wewe na si Tanzania Daima? maana haya makanusho tumeshayazoea, imekuwa kama fasheni fulani hivi
Lile kusudio la Bernadi Membe kulishati gazeti la mwanachi limeshafika mahakamani? Sijaona sehemu yeyote lile gazeti lilipokanusha habari inayolalamikiwa na Membe.Ndio tz daima ni gazet hatar mno la propaganda tena za uongo za chama fulani,ila sita na mwakyembe wameshatoa tamko kua tz daima inatakiwa iwaombe radhi na ikanushe habari hiyo ya uongo au watafungua mashtaka dhidi ya tz daima gazet la propaganda za uongo na upotoshaji.
ndio tz daima ni gazet hatar mno la propaganda tena za uongo za chama fulani,ila sita na mwakyembe wameshatoa tamko kua tz daima inatakiwa iwaombe radhi na ikanushe habari hiyo ya uongo au watafungua mashtaka dhidi ya tz daima gazet la propaganda za uongo na upotoshaji.
Mhhh!!! SITTA MWENYEWE AMEKANUSHA! kwa hiyo naomba uchangie kwa ueledi mzuri.
Jana kulikuwa na thread iliyokuwa na kichwa cha habari "Sitta na Mwakyembe wafungwa mdomo kuhusu Dowans" Source ya thread hiyo ilikuwa gazeti la "TZ Daima". Watu wengi tulipoteza MUDA mwingi kuchangia thread hiyo. Katika gazeti hilo kulinukuliwa habari zilizotoka katika kikao cha baraza la Mawaziri ambacho JK alikuwa ni mwenyekiti wake. Nukuu mbalimbali zilitolewa kama ushahidi wa kilichosemwa kikaoni.
Habari zilizothibitishwa na Sitta mwenyewe na Pia Katibu mkuu Ndg. Ph. Luhanjo zinasema HAPAKUWA NA KIKAO CHA MAWAZIRI WALA HAKUNA ALIYEWAZIBA MDOMO SITTA NA MWAKYEMBE. habari hizi zimeandikwa na magazeti yote ya leo kasoro TZ Daima.
Wadau: Katika tasnia ya habari, Je, hamuoni kama gazeti hili ni hatari kwa usalama wa nchi yetu?. Je, gazeti kama hili katika utawala unaojali sheria za vyombo vya habari halipaswi kufungiwa kwa muda? Je, si kweli kwamba waandishi wa gazeti hili ni MAKANJANJA?. naomba tuwe wazalendo katika kujadili hili. Tanzania ni yetu na ni sisi wenye damu mpya tunaoweza kuifikisha nchi tunapopataka kwa AMANI.
gazeti hili linamuhariri /makamo muhairiri muislam, au mnalaumu annur tu humu jf?
magazeti hatari ni al huda na al nuru,sauti huru,tazama,mtanzania,rai,habari leo