Mwaka 2009/2010 ccm ilipita vyuo vikuu ikawarubuni wanavyuo ambao ni wanachama wa chama cha mapinduzi ikawadanganya kuwa wajiorodheshe ili wawekwe kwenye database kwa ajili ya kupata kipaumbele wakati wa kupata ajira(KUWARUBUNI).
Kama ilivyo ktk misemo ya Kiswahili hasa huu usemao njia ya mwongo ni fupi auHUWEZI KUDANGANYA SIKU ZOTE haukupita muda ukaja uzungushaji wa fomu ya raisi waliopata nafasi hiyo ni watotot wao(WATOTO WA VIGOGO WA CCM) na rafiki zao Mfano RIZ1 na rafiki zake,
Sasa vijana woooooooote wale waliodanganywa na ndugu,rafiki, jamaa na jamii nzima na wasomi wa vyuo vikuu wameuona uongo wa ccm sasa hawaitaki, wanataka rasilimali za taifa lao ziwanufaishe watz woooooote na c wachache ambao ni wateule mfano akina Riz1,January,Nape n.k sasa ccm inatapatapa.
Ni bora ukakaa kimya kuliko kutoa ahadi za uongo zitakazokunufaisha kwa muda mchache na kukupa hasara ya muda mrefu!!!!!!!!!!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA na UWAADHIBU WOOOOOTE WANAIANGALIA KWA HUSUDA NCHI YETU nakupenda TANZANIA!!!!!!!!!!!