Uongo unaoongelewa saluni

Decent ndo zipi?

Decent yaani wafanyakazi wanaconcetrate na kazi,hakuna maneno ya umbea,kuongolea maisha ya watu,kuzungumza maneno yasiyo na adabu bila kujali wapo watu wa umri gani mahali pale ,hakuna watu wanao kaakaa tu kupiga soga yaani kufanya kijiwe etc etc etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom