Uongo uliowahi kufanikiwa zaidi

Niliamini mtu mkubwa au ukiwa Baba basi haukosi hela [emoji23]
2. Niliamini mwenye kitambi hasikii njaa[emoji23]
3. Nlikua nikimuona mtu kavaa suti na tai nàjua kala pilau [emoji23]
 
Kwamba watu wazima wote wana hekima na busara kumbe watu wazima wajinga ni wengi saana.
 
6. Dini Ni za Mungu kumbe Mungu Mwenyewe ahazitambui dini
Yes, dini ni mpango wa wanadamu wakijaribu kumtafuta MUNGU. wokovu ni mpango wa MUNGU akiwatafuta wanadamu ili awaokoe na maangamizi ya milele. Hivyo tuachane na dini tuambatane na neema ya wokovu iliyopo sasa, kwa kumwanimi Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yetu ili hatimaye tuupate uzima wa milele. Huu ndio mpango wa MUNGU kwa wanadamu wote. YOHANA 3:16


hakika: BWANA YESU ni MWOKOZI.
 
“Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.”
— Wagalatia 3:29 (Biblia Takatifu)


Mimi ni mzao wa Ibrahimu. Mwebrania.
 
nilidhani wanawake wanapenda handsome boys.... kumbe wanapenda yule mzee mwenye kipara kwenye dollar ya marekani [emoji23]
 
Hawa watu wanaongozwa na hisia ..hawaelewek wanataka nn
nilidhani wanawake wanapenda handsome boys.... kumbe wanapenda yule mzee mwenye kipara kwenye dollar ya marekani [emoji23]
 
hiyo Iko wazi mkuu. kuna tofauti ya kupaa kwa ndege (aeroplane) na kupaa kwa kutumia ungo. African is a cursed race. myself am not an African but a Hebrew---GALATIANS 3:29



YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Samahani mkuu
hizo taarifa za Africa is a cursed race ulizitoa wapi na kwa kosa gani mkalaaniwa?
 
7. Kusoma thread hii nikijua Kuna kitu nitajifunza nimeishia kusikitikia MB zangu!
 
"hii dunia huwezi kuishi bila stress" sio kweli kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…