'Baby I swear sikudanganyi, wewe ni Mwanaume wangu wa Pili, nimekaa muda mrefu sana baada ya kuachana na EX wangu wa kwanza, yaani nilimpenda (anazuga kulia na kamasi kidogo), maana aliniumiza sana sana kwakweli hadi nililazwa KCMC wiki 2, mpaka nikahisi roho inataka kuchomoka..
Yaani ungewahi kidogo tu ungenikuta Bikira Mpenzi, I rav yuu sana, Dont hurt Me'''..
Umewahi kukumbana na hii kitu Mwanaume???
Mzee ulivyokuwa Boya unamuangalia usoni, machozi yanakulengalenga, unajihisi umepata kweli, yaani wa PILI, kama vile umewahi namba mstarini, halafu unamhug kwa nguvu, unambusu kwa hisia.. huku yeye moyoni anakung'ong'a jinsi ulivyo poyoyo kuamini script za Cherel wa Isidingo...
Eti niliumizwa sana kidogo roho ichomoke, hiyo Roho inayochomoka imekuwa Tairi ya Pick Up au?Mapenzi bwana...