#__hahahaha wanawake mmezidi jaman mweeh...!!

#__hahahaha wanawake mmezidi jaman mweeh...!!

Mwalupale

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
1,048
Reaction score
676
''Baby I swear sikudanganyi,wewe ni Mwanaume wangu wa Pili,nimekaa muda mrefu sana baada ya kuachana na EX wangu wa kwanza,yaani nilimpenda(anazuga kulia na kamasi kidogo), maana aliniumiza sana sana kwakweli hadi nililazwa Kcmc wiki2,mpaka nikahisi roho inataka kuchomoka..Yaani ungewahi kidogo tu ungenikuta Bikira Mpenzi,I rav yuu sana Dont hurt Me'''..Umewahi kukumbana na hii kitu Mwanaume???Mzee ulivyokuwa Boya unamuangalia usoni,machozi yanakulengalenga,unajihisi umepata kweli,yaani wa PILI,kama vile umewahi namba mstarini,halafu unamhug kwa nguvu,unambusu kwa hisia..huku yeye moyoni anakung'ong'a jinsi ulivyo poyoyo kuamini script za Cherel wa Isidingo
Eti niliumizwa sana kidogo roho ichomoke,hiyo Roho inayochomoka imekuwa Tairi ya Pick Up ya mzee wa kisukuma au??Mapenzi bwana...!!!
[Gonga "LIKE" kama umeipenda ? Waweza "SHARE" pia kufikisha ujumbe ,Lakini mkumbuke MJUMBE HAPEWI BAN]
 
aisee mkiambiwa 120 mnasema ooo imeenda cjui imekuwa mileage mara utamu umeisha.
Mkiambiwa wa 2 mnadanganywa.
Hamueleweki haya mnataka muambiwaje?
 
aisee mkiambiwa 120 mnasema ooo imeenda cjui imekuwa mileage mara utamu umeisha.
Mkiambiwa wa 2 mnadanganywa.
Hamueleweki haya mnataka muambiwaje?

tuambieni kuwa luk lets just have fun and nothing more....hayo mambo ya exs shuld be ur own business wala usiseme
 
tuambieni kuwa luk lets just have fun and nothing more....hayo mambo ya exs shuld be ur own business wala usiseme

atasemaje we wa 2 bila ya wewe kumuuliza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom